Haya ndio maisha

Haya ndio maisha

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
1398099190760.jpg
 
Mkuu haka naona kamgahawa cha nguvu na cha kiiaallatii siyo cha wavimba macho au aapiecha alola na hapa ni sawa sawa na wale wajumbe wa laki tatu ndio panawafaa kwa sababu naona kuna utulevu safi na hapo nauwona upepo wa kamto na mawembi na hakuna kelele za walevi wa gongo wa mataputapu na wala siesikee harufu ya bangi tena bomba kamgahawa
 
pazuri sana kwasababu ninajua kuogelea hapo pananifaa sana:rapture:
 
Pole sana. Linaumaje? Labda hujakula vizuri
ahsante
yaaani nimechelewa kula nilikuwa busy mchana nikapuuza kula hapa nilipo nasikia njaa kali na kila ninachokula sishibi nagusa naacha we acha tu
 
ahsante
yaaani nimechelewa kula nilikuwa busy mchana nikapuuza kula hapa nilipo nasikia njaa kali na kila ninachokula sishibi nagusa naacha we acha tu

Dah huko kukaa na njaa ni tatizo lingine. Kama unapata maziwa fresh unywe kama glass moja kabla hujalala
 
Dah huko kukaa na njaa ni tatizo lingine. Kama unapata maziwa fresh unywe kama glass moja kabla hujalala

umeona eeeeh ndo napandisha ngazi za mgahawa wako nipate kunywa maziwa ya moto hapa may be yatasaidia rafiki
 
umeona eeeeh ndo napandisha ngazi za mgahawa wako nipate kunywa maziwa ya moto hapa may be yatasaidia rafiki

Fanya ivo mine. Kunywa tu maziwa kila kitu kitakua fine, na ilo unaloliogopa sahau kabisa, huumwi, ok?
 
wataliano na wafaransa wamebobea sana kwenye migahawa
 
Back
Top Bottom