englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hahaha huyo goalkeeper kaniacha hoi alivyotanua miguu, mpira haupiti hapo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Halafu imagine awe hajavaa kikyupi
Huyu anapingana na BRN (big results now). Panua gili wanafunzi wafaulu!
Hahaha huyo goalkeeper kaniacha hoi alivyotanua miguu, mpira haupiti hapo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Moira wenyewe sijui ni jiwe?
nafuu upite frii maana ukigusa hazina unaweza kulia hadi kesho..weee!Nina wasiwasi shuti likipigwa na mpira ukapita katikati ya kipa
Hahahha maliasili yote si itakuwa nje. But ya mtoto haina shida bana hata ikionekana
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hahahaaaa lakini ukiwa na mkwe lazima ujifanye hujaona au utazuga kuangalia pembeni