Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,802
Alitembelewa na huyo mwandishi hadi anapokaa
Hana wimbo mmoja mkuuSawa mungu ampe akili za kuona mbele Kama diamond kawimbo kamoja kasimpe kubweteka
Alitembelewa na huyo mwandishi hadi anapokaa
Kumbe kuna watu wamemjua Darasa baada ya Muziki ft Ben Pol,aiseee,kaaaz kwelikweliSawa mungu ampe akili za kuona mbele Kama diamond kawimbo kamoja kasimpe kubweteka
Kumbe kuna watu wamemjua Darasa baada ya Muziki ft Ben Pol,aiseee,kaaaz kwelikweli
Ni kama 20℅ watu wengi walimjua kwenye Tamaa mbaya wakati alikuwa ashafanya ngoma nyingi kali. Ila sema wasanii wengi wakifika 'climax' wanapata shida kumaintain status na mwisho wanaishia kufeli, Darasa ajitahidi kumaintain maana huu wimbo wa sasa ni mkubwa sana, akitoa wimbo mbovu tu tunamsahau maana watu sahivi wanamuangaliaKumbe kuna watu wamemjua Darasa baada ya Muziki ft Ben Pol,aiseee,kaaaz kwelikweli
Kweli mkuu yaan mwandishi kama uji hauna sukariHii intavyuu mbona imekaa ki -TBC, tbc..!
Haina mvuto, kamera haipo kwenye angle nzuri sauti inafifia na kurudi ilimradi liende..
Poor interview.!