msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,207
- 7,727
Mimi kwakweli siambiwi wala sisikii kitu kuhusu CROWN ATHLETE.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Uongo brother nenda ilala pale kwa omama kajaza maspea ya mazda ushindwe wewe tu.kila aina ya takakataSpare hamna, jitieni vidole tu kutafuta sifa zisizo na ulazima.
Ila ipo chini sana sema ina comfortablyMimi kwakweli siambiwi wala sisikii kitu kuhusu CROWN ATHLETE.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Bei inaendaje saivi ukiagiza..?Ila ipo chini sana sema ina comfortably
Dawa yenu FUGA😎Nissan Skyline ndio kali zaidi.
Jamani nahitaji maelezo ya kina kuhusu hii gari.Mi naihusudu sana
Subaru
Model - Impreza
Body type - hatchback
Mwenye kuifahamu zaidi hii gari anijuze, kabla sijajilipua
Zitakuja Arif. Kenya hayo magari yameanza teleSpare hamna, jitieni vidole tu kutafuta sifa zisizo na ulazima.
Jamani nahitaji maelezo ya kina kuhusu hii gari.
Asante sana boss, nimepokea.Subarus are generally okay.
Ziko poa ukiendesha (handling na comfortability), engine nzuri na ina space ya kutosha (si kubwa sana) ila hii iko chini kidogo (low ground clearance) so njia korofi uende mdogo mdogo. Ukizingatia pia haina approach angle nzuri pia (ina bumper la mbele refu kidogo) so kama unapita njia zenye changanoto nyingi jiandaw kuigusisha chini unless uinyanyue kidogo.
Model za nyuma kama ilivyo forester zilikuwa na tabia ya kula oil zikifika km 140,000 na kuendelea. Sina hakika kama ni kweli au la ila ukipata yenye mileage chache chukua kama unaipenda.
Si ufejapo simkubali makonda ila kuna ile Lexus q nini sijui, alimpora nani Sijui naihusudu kufa
Nikimzalia tu nakufaSi ufe
🐕🦮Nikimzalia tu nakufa
Sasa sisi tufanyaje?1. Nissan Qashqai
2. Nissan X-Trail ya 2014
3. Honda CR-V
4. Hyundai Tucson
5. KIA Sportage
6. KIA Sorento
7. Mazda CX-5
Nitapambana mpaka nilitie mkononi gari moja.
Tutabanana
tofauti zake ni nini mkuu?KRUGER V AU L NDO MPANGO MZIMA
Mkuu umejiuliza maswali ukajijibu. Bottom line ni kipato. Ukiwa na uwezo wa kuendesha Range Rover, maana yake wewe kwako Mafuta siyo shida. Nikinunua Mercedes na service nafanyia DT Dobie…nitasemaje kwamba Mercedes ni gari mbovu? Kama ulivyoandika hapa, determinant ni pesa. Basi.Hii mada ni pana kuliko unavyofikiria. Hata kama una hela inabidi ununue gari ambayo utakuwa na mahali pa kufanya service (hata kama haijaharibika) na inayoweza kuendana na matumizi yako.
Lakini pia si kila mtu ana pesa, hivyo watu wanavyoshaurinau kuomba ushauri kuhusu magari fulani na kulinganishwa na magari fulani, lazima aambiwe mapungufu na mazuri ya hizo gari. Hakuna sababu ya kutetea mapungufu ya gari fulani kwa kigezo cha umaskini.
Kama gari ina poor fuel consumption mtu ataambiwa na ataamua kama ananunua au la, kama air suspension au gearbox ni weak kwenye hayi magari aaambiwe pia
Mkuu umejiuliza maswali ukajijibu. Bottom line ni kipato. Ukiwa na uwezo wa kuendesha Range Rover, maana yake wewe kwako Mafuta siyo shida. Nikinunua Mercedes na service nafanyia DT Dobie…nitasemaje kwamba Mercedes ni gari mbovu? Kama ulivyoandika hapa, determinant ni pesa. Basi.
Haya maswali yote unayoyaona humu…ni kutafuta unafuu wa uendeshaji au kumiliki haya magari.
Kwenye maisha kuna level inafika…service ya gari, bei ya mafuta…siyo issue tena.
Kama bado unaamini kuna gari hazina spare au zinasumbua…endelea kujitafuta. Hujajipata bado.