naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
inawezeka jana usiku maana usiku ulikua mrefu kulala na baridi peke yangu
Kila siku nakwambia usikimbilie kujibu soma au angalia vizuri unaona sasa unanipa kazi ya kukuombea msamaha kwa wote uliowakwaza