Hiyo ni fursa kwa wana Ntwara kinachotakiwa atokee mjanja mmoja ai-bland vizuri na aipatie jina litakaro shawishi vijana na mahotel makubwa kunywa na kuuza.Haina tatizo aisee si uliona afande alivyoichambua kitaalamu mkuu...!
Kuna mbunge anataka itumike kama sanitizer kwa kunawia mikono kwa wananchi wa kipato cha chini.NIPA Afande kaichambua kwa ufasaha wa hali ya juu.afande ni mshikadau hata macho yake yanajieleza
Sent using Jamii Forums mobile app