Haya ndege hiyoooooo

Ndege hizo zina safiri moja kwa moja kwa kama 900km bila kupumzika
Hizo ndege hadi zifike hapa Tz kutoka huko ziliko kuna km ngapi?
Je hazitavuka bahari eneo lenye zaidi ya km 900? Zitapumzika wapi..?
 
Hongera kubwa sana kwa Rais wetu magufuli, kututoa kwny zero to something
 
watu wana ufinyu wa fikra, wamekaa kukosoa tu, Air Berlin baadhi ya safari wanatumia hizo ndege pia makampuni mengine makubwa kama ethiopia na mengine ya canada
Kuna watu wanakosoa tu wakat hata kupanda kwenyewe hawajawahi na wengne wanaishia kuziona angani tu lakn hapa wanajifanya wanajuaaa
 
What's your proposed solution?
 
Watanzania wenzangu jifunzeni tabia ya kudadisi vitu kwa kina, kupata uelewa wa vitu, kuainisha mapungufu na kupendekeza solutions, vile vile the tujifunze kuwapa wengine moyo pale wanapojaribu jambo fulani. Tabia za kubeza na kukebehi bila hata kujua jambo lenyewe, mnapotea ni tabia za kichawi na stone ages, jaribuni kubadilika japo kidogo, hizi ni zama za technology kubwa inayokuwa kwa kasi. Mfano wengi wenu humu mnabeza ndege hizi lakini hamjui hata zinafaida gani au upungufu gani, yaani nyinyi ni watu wa kuzomea tu tena mambo msiyoyajua bali kwa kusikia tu, mpo na kimbelembele cha kushabikia vitu vya watu huku mkiponda vya kwenu. Mtu hata kujitahidi tu kufungua website ya kampuni iliyotengeneza ndege hiyo na kujua kwamba ukikaa karibu na hilo pangaboi hakuna shida, hamuwezi unakalisha makalio yako na kupuuza jitihada za wenzako bila hata kujisumbua, shame on you guys.
 
Bongo amnaga zuri lolote kila kitu huwa kinaonekana kibayaa.
Fikra zetu ziko palepale ahaaa teh nunuen maboing basi yafanye kazi
 

Umesema zama za teknolojia.. Watu tunataka tupae na teknolojia sio analojia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…