ilo bonge la ndege angalia kwenye site ya hizo ndege, uone uwezo wake..Na kama yapo mambo mengi..kwanini wameenda kuleta haka kapicha??? Kwanini wasingepeleka ela kwenye mambo ya msingi zaidi?? Hata sijaona la maana hapo.....ajira hamna...mishaara inachelewa ...wanafunzi vyuoni wanalalamika ela za field...alafu bado tunaleta haka ka ndege!!! Au ni dili la mtu hili?
Duuuh sijaelewa hata unataka kuandika nini!!
Nakubaliana na hoja yako kabisa concern yangu mimi ni kwamba kwakuwa wenzetu wanakimbia hv sasa sisi ilibidi tupae ili tuweze kuwafikia...hata nyumbani hapa bado shirika litakutana na upinzani kutoka kwa mashirika yaliyopo kwahiyo ilibidi serikali iwekeze kuvutia abiria wengi kwenye ndege yake/zake ikiwemo kununua ndege bora...sasa kwa mwendo huu huoni kuna hatari ya kufilisika tena gharama za uendeshaji zitakapozidi mapato kutokana na ufinyu wa abiria...i stand correctedio ndege ni kwaajili ya safari za ndani, shirika lilifilisika sio rahisi urudi na kuanza na ndege za gharama kubwa...
Na Utawala uliopo una miezi tu, hayo mashirika unayoyaona yana ndege za thamani kubwa haya kuanza na hizo...
nchi ina mambo mengi ya kushughulikia sasa unataka wawekeze kwenye ndege tu
kufeli kibiashara kuna sababu nyingi...Nakubaliana na hoja yako kabisa concern yangu mimi ni kwamba kwakuwa wenzetu wanakimbia hv sasa sisi ilibidi tupae ili tuweze kuwafikia...hata nyumbani hapa bado shirika litakutana na upinzani kutoka kwa mashirika yaliyopo kwahiyo ilibidi serikali iwekeze kuvutia abiria wengi kwenye ndege yake/zake ikiwemo kununua ndege bora...sasa kwa mwendo huu huoni kuna hatari ya kufilisika tena gharama za uendeshaji zitakapozidi mapato kutokana na ufinyu wa abiria...i stand corrected
Kuja straight vyenyewe vitaweza?Hiv hii si inaenea vzr kwenye boeng wangevipakiza vije straight dar.
kwa vyovyote vile- kwakweli natamani zifanikiwe na shirika letu la ndege lichukue nafasi yake hapa Africa Mashariki , ngoja tujipe mudakufeli kibiashara kuna sababu nyingi...
kama ushawahi kufanya biashara utaelewa..
kwa hizo ndege zitaweza kushindana kwa ndani ya nchi...
wafanye matangazo tu ya kutosha
Hayo masafa mpaka vifike duh hukawii kuskia vinahitaji service kwanza South Africa...ndio vianze kaziKuja straight vyenyewe vitaweza?
Wait...
Wewe umesaau kua tulikua tayari kuchelewesha uhuru wetu ili wengine nao wapate sasa washangaa niniBaada ya miaka 50+ ya uhuru tunaleteana kapicha ka photoshop eti ndege inapaa!!!!
Japo wanasema paul kagame hataki kuachia madaraka lakini ameweka juhudi mpaka wametuacha sisi tukia na kipicha cha ndege!!! Ethiopia na kenya wote wametuacha ...sisi bado tupo na kipicha cha ndege inayopaa!!!
Hii ndege haina hata uwezo wa kwenda hapo kenya achilia mbali japan...usa...europe!!! Yanu ni ya mwanza...kilimanjaro dar...morogoro daaah!!
Mkuu ujue unaua bendi?kwa mliopanda ndege mtujuze ukiwa siti ya sita dirishani hapo kutoka kwa kondakta wa mlango wa mbele kelele za hilo pangaboi hauzisikii😕
Ziweza ku fail kati kati ya bahari ya pasific....Hayo masafa mpaka vifike duh hukawii kuskia vinahitaji service kwanza South Africa...ndio vianze kazi
Heri nusu shari kuliko shari mkuu; Mwinyi, Mkapa, na Kikwete hawakutaka hata kujaribu, waliishia za kukodi, nazo zikawashinda.Kandege gani haka....!
Hahahaaa..Tuombee Zifike salama tu maana hela tushatoaZiweza ku fail kati kati ya bahari ya pasific....
Ndege hizo zina safiri moja kwa moja kwa kama 900km bila kupumzikaHayo masafa mpaka vifike duh hukawii kuskia vinahitaji service kwanza South Africa...ndio vianze kazi
Basi la ngorika lina beba 65Hadi nimecheka hahaha et Ndege kumbe ka jeti watu 55 tu
Swissme
Km 900 si dar mwanza nduguNdege hizo zina safiri moja kwa moja kwa kama 900km bila kupumzika
kwa mliopanda ndege mtujuze ukiwa siti ya sita dirishani hapo kutoka kwa kondakta wa mlango wa mbele kelele za hilo pangaboi hauzisikii😕