Haya ndege hiyoooooo

Haya ndege hiyoooooo

MduduWashawasha

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Posts
1,653
Reaction score
605
secondQ400_zpsrllvksir.jpg
 
watu wana ufinyu wa fikra, wamekaa kukosoa tu, Air Berlin baadhi ya safari wanatumia hizo ndege pia makampuni mengine makubwa kama ethiopia na mengine ya canada
 
watu wana ufinyu wa fikra, wamekaa kukosoa tu, Air Berlin baadhi ya safari wanatumia hizo ndege pia makampuni mengine makubwa kama ethiopia na mengine ya canada
Napongeza juhudi hata za kununua hiyo ya pangaboi...lakini Tanzania kama inataka kweli kuingia kwenye ushindani wa safari za anga hapa Africa Mashariki nguvu zaidi inahitajika...hiyo ndege kwa maoni yangu sio Mwanzo mzuri...unaona hata precision wanapoelekea sasa hv
 
io ndege ni kwaajili ya safari za ndani, shirika lilifilisika sio rahisi urudi na kuanza na ndege za gharama kubwa...

Na Utawala uliopo una miezi tu, hayo mashirika unayoyaona yana ndege za thamani kubwa haya kuanza na hizo...

nchi ina mambo mengi ya kushughulikia sasa unataka wawekeze kwenye ndege tu
 
Baada ya miaka 50+ ya uhuru tunaleteana kapicha ka photoshop eti ndege inapaa!!!!

Japo wanasema paul kagame hataki kuachia madaraka lakini ameweka juhudi mpaka wametuacha sisi tukia na kipicha cha ndege!!! Ethiopia na kenya wote wametuacha ...sisi bado tupo na kipicha cha ndege inayopaa!!!

Hii ndege haina hata uwezo wa kwenda hapo kenya achilia mbali japan...usa...europe!!! Yanu ni ya mwanza...kilimanjaro dar...morogoro daaah!!
 
io ndege ni kwaajili ya safari za ndani, shirika lilifilisika sio rahisi urudi na kuanza na ndege za gharama kubwa...

Na Utawala uliopo una miezi tu, hayo mashirika unayoyaona yana ndege za thamani kubwa haya kuanza na hizo...

nchi ina mambo mengi ya kushughulikia sasa unataka wawekeze kwenye ndege tu
Na kama yapo mambo mengi..kwanini wameenda kuleta haka kapicha??? Kwanini wasingepeleka ela kwenye mambo ya msingi zaidi?? Hata sijaona la maana hapo.....ajira hamna...mishaara inachelewa ...wanafunzi vyuoni wanalalamika ela za field...alafu bado tunaleta haka ka ndege!!! Au ni dili la mtu hili?
 
Kuna statesman mnoja aliwahi kusema zuzu haliwezi kutofautisha vipande vya chupa na almasi ;nadhani alikuwa na maana fulani !!
 
Back
Top Bottom