Haya nayo pia ni mashindano eti...Dah!

Haya nayo pia ni mashindano eti...Dah!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,266
Hawa wachina hapa sasa nao wamezidi...eti mashindano ya kuona nani anayeweza kunasa nyuki wengi mwilini mwake!!!

_54108506_bee1.jpg
 
hata nyuki wenyewe wa kichina...nyuki gani hawaumi?

Nyuki hawaumi kama hujawachokoza/hawaumi mti wala kisiki...wako friendly huwezi amini. Tena hapo wanafuraha sana maana watakuwa wemewekewa chakula...au kitu kitamu.
 
Kutafuta kufa bure! Sasa huyo hapo juu anapumuaje?
 
Duh!kazi kweli!huyu wa chini inaonekana atakuwa ameshinda
 
Nimewahi ona hii kitu kwenye documentary moja
madaktari wanasema huwa wanasaidia sana mwilini
-kuondoa vipele
-activate sehemu za mwili zilizokufa esp naive system
 
Nyuki hawaumi kama hujawachokoza/hawaumi mti wala kisiki...wako friendly huwezi amini. Tena hapo wanafuraha sana maana watakuwa wemewekewa chakula...au kitu kitamu.
Nini?Walimtoa roho mzungu wa Mgodi wa kahama we unasema hawaumi?
 
Hawa nyuki wa kichina, waje waende wakawatege hivyo nyuki wa Uswahilini Tabora halafu wataona mziki wake
 
Kama hawa jamaa hawajavaa nguo, inakuwaje nyuki waliopo kwenye nyeti laini laini?
 
Back
Top Bottom