Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,958
aisee anafaa kwa matumizi
Anaonekana mkali lakini usije ukaanza kuchanja mbuga baada ya kuvua hiyo suruwali coz unaweza kukutana na michirizi ya hatariiiii
aisee anafaa kwa matumizi
Sawa. halafu unasepa. si kwa kuoa!
Hii formula iliyotumika kutengeneza huu mlima kama sio differential equations basi magazijuto
Hongera sana umezungumza Point mkuu Joseph Uzuri wa Mwanamke ni Tabia yakekuwa nzuri sio uzuri wa sura hausaidii kitu ikiwa huyo Mwanamke ana tabia mbaya hafai kuolewa asante sana.Tangu nizaliwe sijawahi kuona raha ya mwanamke mwenye umbo zuri,sura na hata ngozi zaidi ya raha ya nje na sifa tu ambazo hazisaidii kiuhalisia katika maisha ya ndoa ana ya kungonoka.