kwenye usafiri unatafuta nn mkuu? hujui kuwa miguu ndio ya kwanza kuwekwa kando wakati wa kuchinja kobeKitu kimetulia. Vipi usafiri upo?
...Tehhh!! tehh ambassodor..usafiri sio issue mbona huyo unamtafutia ka-starlet akipiga T-shirt na jeans mambo mengine yanabaki kama yalivyo lazima watu wajazane!!!Kitu kimetulia. Vipi usafiri upo?
![]()
Kienyeji special MPENI VOTE
Hongera wifi yetu mrembo,
hivi kwa nini maziwa yakianguka..
mtu huwezi kuyarudisha kama ivo?:smilez::A S shade:
Shemeji yaani mpenzi wangu huyooooooooooooo Mwanamke wangu huyooooooooooooooooooooooooo Mkuu Minda upoooooooooooshemeji yetu kivipi? ama kweli mzizimkavu una v2ko.
:shock:
Shemeji yaani mpenzi wangu huyooooooooooooo Mwanamke wangu huyooooooooooooooooooooooooo Mkuu Minda upooooooooooo
![]()
Kienyeji special MPENI VOTE
acheni kudhalilisha watu-picha gani hizo