Haya muangalieni shemeji yenu huyoo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,111
38440_1526123154632_1281240732_1473890_6971279_n.jpg

Kienyeji special MPENI VOTE
 
Pua ka donge la Sabuni..............

Ila Mtindi na Wowowo, mhhhhhhhhhhhhh

Ila kwa sisi Wanyamwezi, hawa hapa chini wanatufaa zaidi kwa CHAGULAGA.....
swazi-girl1.jpg
 
Hallow guys,jifunzeni kustadi picha,,,lengo hapa ilikuwa ni kuonyesha jinsi ngozi ilivyokuwa ikivutwa tangu udogo wake na sasa imerefuka na kujisokota kuwakama rasta..But nyinyi mme comment viti vingine kabisaaaa:nono:
 
Mtoto dodo hilooo !!!! kiuno mweeeee !! lips za kuperform swaaaaaaa !!!!!

Mzizimkavu namkubali shemeji yangu ****
 
Hallow guys,jifunzeni kustadi picha,,,lengo hapa ilikuwa ni kuonyesha jinsi ngozi ilivyokuwa ikivutwa tangu udogo wake na sasa imerefuka na kujisokota kuwakama rasta..But nyinyi mme comment viti vingine kabisaaaa:nono:

hebu nenda kacheze na wenzako huko na wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom