Haya matusicwengine wanayatafuta

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Mama mkwe utaanzaje kumuuliza mke wa mwanao "hivi mwanangu ulikutana nae wapi"? Alijibiwa "unataka kujua usiku anani do vingapi pia"?

Mama aliwahi kwa mtoto wake kushtaki mkeo hana adabu.

Mama wakwe muwe na busara, reception inaweza kuwa mbovu lakini mauno ninayomkatia mwanao ni yeye tu anajua.
 


Umenipandisha mzuka, walahi nakutamani!!
 
Labda anataka aandike kwenye diary yake we mjibu tu atengeneze kitabu
 
Kosa halifuti kosa... Kama mama mkwe hana busara wewe unapaswa kumuinesha una hekima
 
post zako lazima nisome mara 2, sijui ni mimi tu hua zinani 'kilazisha' au lah,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…