Haya matusi ya rejareja ya Oscar Oscar, mamlaka ziko kimya

Hizo meme,watu wanatengeneza,lazima wadhamini,wangekuwepo hapo.Halafu Oscar Oscar,siyo mzee.Nadhani hata 50 hajafika.
 
Hizo meme,watu wanatengeneza,lazima wadhamini,wangekuwepo hapo.Halafu Oscar Oscar,siyo mzee.Nadhani hata 50 hajafika.
Naweza kuamin ulivyosema zimetengenezwa na wengine,maana npo na acc yake lakin huwa naona zinazohusu mpira tu
 
... hili ni takataka la wapi? Ndio ma-role models wa baadhi ya wapumbavu nchi hii. Kuna wajinga wanatamani kufikia "mafanikio" ya pumbavu kama hili!
Nchi hii sahv imejaa wapmb na sahv wameingia kila idara basi shida sana

Ova
 

2b kwa mwezi au?
 
Akina diamond na harmonize manyimbo yao yamejaa mitusi.
Lakini wao ndio wanapigiwa simu za surprise na rais wakiwa wanaperform.
Wengine wanasifiwa wana vifua vizuri..
Tone at the top sets a trend.
 
Zamani nilifikiri kuna mtu anaandika huo ujinga kisha anambambika jamaa ionekane ndiye kausema. Kama alivyokua anagewa Robert Mugabe, baadaye nikaja kuambiwa kumbe ni zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…