holygrail
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 1,303
- 598
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana.
Hebu soma hapa chini alafu utoe ushauri.
Naitwa Merisa waMorogoro.
Niliolewamiaka miwili iliyopitana kufanikiwa kupatamtoto mmoja.
Mapenzi yangu na mume wangu yalikuwa motomoto nakila mmoja alimfurahiamwenzake.
Mume wangu alikuwamwaminifu, aliheshimupenzi letu kama alivyoahidi sikutulipofunga ndoa.
Binafsi nami nilikuwamwaminifu kwake.Siku moja nikiwasokoni, nilikutana na mpenzi wangu wazamani ambaye kwahakika yeye ndiyealiyepaswa kunioakabla ya kumpatamume wangu wa sasa.
Enzi za mapenzi yetu nazilipendwa wanguhuyo, tulidumu kwenyeuhusiano kwa muda wamiaka mitatu na tulikubaliana kuwa tungekuwa mke namume lakini wazaziwake waligomatusioane katika hatuaza mwisho.Kwa ukweli nilimpenda kwa pendo la dhati lakini aliamua kuniacha kutokana na shinikizo la wazazi wake. Alikuwa mtundu sana katikamasuala ya sita kwa sita na nilikuwanafurahia kweli tendohilo kuliko hata kwamume aliyenioa.
Baada ya kuolewa nakugundua kuwa mume wangu hakuwa nakiwango mara kwa mara nilikuwa nikimkumbuka zilipendwa wangu huyo.
Bahati mbaya sikuwana namba yake ya simu,kwani baada yakuolewa mume wangualinibadilishia ‘laini'yangu ya simu ili kukata mawasiliano nawapenzi wangu wazamani.
Kitendo cha kukutananaye zilipendwa wanguhuyo, hakika mwili wangu ulinisisimka nakuona kamanimekutana na chaguola moyo wangulililopotea.Nilikuwa wa kwanza kumuona. Nilimwita naaliponiona alisimama nikamsogelea nanilijikuta nimemkumbatia nakuanza kupeana naye mabusu motomoto.
Siku hiyo niliiona kuwaya tofauti sana katika maisha yangu.
Nilimuomba namba yake ya simu na kuiihifadhi.
Tangu siku hiyo,tukawa tunawasilianamara kwa mara huku tukitumiana ‘SMS' zamapenzi.
Jamaa aliniombanitafute siku moja ili tukakumbushie enzizetu.
Kweli nilijipangana siku ya siku tukalicheza ‘segere' kwa kukumbushana enzi.Nilijiona kama niposayari nyinginekutokana na majambozi aliyonifanyia, hakika nilimuona mumewangu si kitu.
Kitendo cha kunipa mahaba mazito niliyokuwa nimeyakosakwa muda mrefu kilinifanya nimchukiemume wangu nakurudisha upendo kwanguvu zangu zote kwazilipendwa wangu.
Ilikuwa kila akinitumia SMS, nilikuwa naisoma kisha naifuta.
Kutokanana hali hiyo, muda mrefu nilikuwa makini sana na simu yangu ili SMS zake zisikae kwenye ‘inbox' ya simuyangu.
Lakini wahenga walisema, siku zamwizi ni arobaini.
Siku moja nikiwa sina hili wa lile, mume wangu alirudi mapema nyumbani na kuniambia twende chumbani.Tulianza mazungumzoya hapa na pale na baada ya mazungumzo,ghafla nilipitiwa nausingizi.
Nikiwa usingizini, SMS iliingia kwenye simu yangu na mume wangu akaichukua simu nakuisoma. Ujumbe huoulisomeka hivi: "Dear nimelimisi sana penzi lako, kitendo chakutokuonana kwa siku mbili kwangu ni kamamwaka mmoja."Akiwa bado haamini,mara SMS nyingineikaingia ikisomeka:"Huyo mume wako hana lolote, natamaniufanye mipango akupetalaka ili uje tuoane maana tukiwa kitandani huwaunanipagawisha sana, sioni mwanamke mwingine zaidi yako chini ya jua."SMS hizo zili mchanganya sana mume wangu akaniamsha na kuanzakuniuliza.
Sikumjibu chochote hivyo akaanza kunipiga na siku hiyoakanipa nauli ili nirudi nyumbani.
Nilirudi kwetu nakuwekewa vikao nandugu zangu,nilionekana kuwa namakosa kwa kuwamume wangu alizitumia SMS kama uthibitisho.
Hata hivyo, mume wangu alikataa msamaha, akaamuakuvunja ndoa yetu kwa kunitwanga talaka.
Siku niliyopewa talaka ndiyo siku ambayozilipendwa wangu nayealipo pata ajali kwa kugongwa na gari na kufariki dunia.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa,sijui la kufanya,nimeachwa naniliyemtegemea kuwa kimbilio langu,amefariki