Haya mapenzi haya!

Haya mapenzi haya!

Mimi nadhan arud kwa mungu wake na atubu dhambi zake mungu atamsamehe na atampa chaguo lake
 
Duh!huyo Dada alitakiwa afikirie kwa umakini before hajachepuka kwani hata huyo kaka asingekufa nnauhakika asingemuoa baada ya kuachwa na mumewe.Kuna vitu huwa tunafanya lakini hatuangalii mbali tunaangalia raha ya muda mfupi.Matokeo huja baadaye tena yenye majuto makubwa.
 
Vichwa vya baadhi yenu huwa havifikirii vyema... Hivi kama alikuona wa maana kwanini asingekuoa?

All in all pole na ujifunze ukirudia kula matapishi jiandae kuhara....
 
Back
Top Bottom