Haya mapenzi haya!

Haya mapenzi haya!

[emoji23][emoji23][emoji23] una umri gani mkuu? Nilivyokua na miaka 19 demu wangu aliniacha nilichanganyikiwa hatarii..nilikua natoka home naenda nazunguka karibu na home kwao kisha narudi kwetu, kesho tena ratiba ile ile. Sijui kwa nini nahisi na wew nd'o unapotia kipindi hicho
Mimi ni mwanaume sio mvulana.
 
Pole sana, hizo no changamoto za mahusiano.
 
Kile chama bado kinakuhitaki mkuu mawazo ya ninu embu kuwa mjabja
 
Kuna wakati unaamua kuacha kuhangaika unaamua kutulia na mpenzi mmoja na kuwa muaminifu. Unakuwa committed kwake kwa kila kitu, ila sasa unakuta mpenzi uliyenae hajatulia anachepuka tu, hii inauma sana.
Unaona ni bora tu uendelee kuhangaika tu hamna namna.
Ni vema unapikutana na mwenzako umuelezee history yako ajue ukipotoka umetokea mazingira gani na nini kimekukuta....
 
Mchumba ndio utasikitika kidogo!,Lkn kama hizi nyapu za kusuuza fungu tu unasonga tu kibabe.
 
Kisasi tu hicho wewe ulivyokuwa unaruka na pisi za watu unadhan wenyew hawaumii.
 
Kucheat ktk mapenzi ni sawa na Foolish Age,ukiwa na mpenzi ana cheat/hajatulia fahamu mpenzi wako yupo kwenye foolish age ni kipindi ambacho unatakiwa uonyeshe na udhihirishe kweli unampenda mwenzako,ni kipindi kigumu sana.

hakina guarantee kitadumu kwa muda gani lakini ni kipindi cha mpito,ni kipindi ambacho mchepukaji haoni/hatambui upendo toka kwa mwenzi wake,ni kipindi ambacho mtendwa anatakiwa kuwa na uvumilivu wa kiasi kikubwa.

usimuache mwenzi/mpenzi wako anapokua ktk hiki kipindi,tumia mapenzi yako yote kumuelekeza jinsi ambavyo hupendi hiyo tabia,muelekeze,mshauri,nk ni tabia ya mpito tu.

ukifanikiwa kuivuka hii stage ukiwa na mpenzi wako,Hakuna kitu chini ya jua kitaweza watenganisha,Foolish Age ipo kwa kila mtu jaribu (kama utaweza) mvumilie,kama huwezi usijilazimishe.

lakini tambua kila mtu ana hicho kipindi kwahyo hata huko utapoenda either ukutane na alievuka ile foolish age au ukutane na ambae bado,Tulia hapo hapo ulipo YESU akirudi kunyakua watu wake asikukute unahangaika.
 
Back
Top Bottom