Haya mapenzi haya

Tafsiri yake kwa kikwetu...
Sijali kama ulizaliwa kwa njia hii au kama wewe ni zao la maisha magumu huko nyuma! Wewe ni muuaji...hiki ndio unachokifanya sasa na hutakaa ubadilike

Sio jukumu langu kujisikia vibaya juu ya hili, ulinifanya mjinga nimpende mtu bandia na kunicheka uliponitesa na kuniacha

Nimelishinda hilo na sasa nina nafasi ya kuishi maisha yangu, huru kabisa toka kwenye kucheza na akili yangu
Tofauti na wewe nina uwezo wa kubadilika na hiyo ni nafasi ambayo siwezi kuacha
 
 
kiukwel hali halis ndo hiyo tumepoteza watu weng coz of love jana tu kuna askali kamuua mwenzake coz of lov nishiidaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…