Haya mapenzi gani sasa?

Ni namna tu ya kuwasilisha mkuu! Usijali, mimi sio mwandishi wa habari... Hahahaaa!!
Hili neno huwa linatumika sana na teenagers na adolescents ambao huwa hawajakua kiakili!
 
Huyo kijana ----- kweli kweli kwanini anune???? Kisa???? Labda unambie kama kuna sababu nyingne.....

Afu huyo mdogo ako anachanganyikiwa kwa sababu ipi labda
 
Hapa bado najiuliza bikira ipi 23yrs halafu amgande huyo mwanaume

nikipata jibu nitarudi
 
Hili ndo tatzo la kudate wanafunzi...hii kitu nilishakataa zamani sana..
 
tracy jamaa ana bifu nyingine kuwa mdogo hampi papuchi mana ndo walivokubaliana wakati wanaanza mahusiano. Nahisi ndo mana jamaa amemtema, dogo bado b.i.k.r.a

Promo kazini
 
Last edited by a moderator:
Utoto umewajaa...mtu mzma na akl zako unadate na mtu wa chuo.tena chuon kwako. Mxiuuuu. ..tupa kule
 
Haaaa masihara haya pipi ya kijiti mkuu nafikiria sana ujue

nafikiria mdogo wako akija unamkagua sasa sijui ndo unatumia pipi kijiti kuona hiyo bikra ipo sielewi ujue
 
Chuoni hakuna mapenzi ya kweli ndo maana jamaa katumia weak reason kuachana na papuchi ya mdogo wako na hapo ujue kapata papuchi nyingine.
Mwambine mdogo wako aache uzinzi maana yesu bado anakupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…