niunganishe nae huyo mdogo wako.. manake huku kwangu nimekalia kuti kavu muda wowote kuanzia sasa nitaachwa na mimi naogopa kuwa singo kama mdogo wako...
Sasa kama dada ni kiazi namna hii dogo atakuaje! !?? Najiuliza tu coz dada mtu usingekosa cha kumshauri dogo hapo
Aisee kuna watu vichwa vyao havina ubongo kabisa, halafu mbaya zaidi na dada mtu nae kachanganyikiwa ingawa hajasema, we unamlilia mtu utadhani umezaliwa nawe, upenzi wenyewe wa chuo tena ni wa kusogeza miaka mbele. Ushauri wangu aendelee kuchanganyikiwa tu anaweza kubahatika kugundua bomu la mapenzi
akamlipue huyo mpenziwe apendwe upya.
Salamu kwenu wanajamii! Nina mdogo wangu ana boyfriend wake, sasa huyo kaka huwa tunaongea naye kwa simu kusalimiana sasa tatizo liko hivi: nilimwomba mdogo wangu aje tujumuike pamoja krismasi, kwasabu ninakaa naye karibu ila wilaya tofauti, basi akaniambia atakuja na mchumba wake, basi akanipa nikaongea na huyo mchumbake akasema watakuja.
Wakaja tujumuika nao krismaa na familia yangu then wakarudi chuoni wanakosoma.
Sasa jamaa kanuna eti kisa hakutambulishwa kwangu na huyo mdogo wangu, na binti amechanganyikiwa baada ya jamaa kumwambia anabaki single kama zamani!
Nimshauri nini huyu mdogo wangu baada ya kuachwa? Mana kachanganyikiwa kweli! Sio utani huu...! Karibu kila mmoja kwa nafasi yake!!
we dada una huruma saana, mdogo wako analiwa papuchi bure, nawe mnamkaribisha nyumbani mlaji papuchi ndio maana anawatisha