Mweee..? Madhara ya lugha ya mama katika matamshi ya maneno. Ila tusubiri wataalamu (au wataaluma?)
Ila kwenye 'redio' pale pamefanyika utohoaji kwa hiyo 'redia' si sahihi hata kidogo. Hii ni sawa na 'secondary' imetoholewa hivyo itaandikwa kama inavyotamkwa 'sekondari' na sio 'sekondori' au 'sekendari' (hii ya mwisho naona kama inakujakuja hivi!)
Hii inatokana na kuathiriwa kwa lugha mama ndio maana utakuta mwingine anasema
selasini badala ya thelasini
fiatu badala ya viatu ila na dhani gulta amekujibu vizuri