ivi girls(some) si ndo huwaambiaga mama zao ''ungechelewa ningekuzaa''
Habari zenu wana-MMU!!
Mimi ni msomaji sana wa articles na majarida mbalimbali katika kupata kujua na kupambanua mambo mbalimbali,..
Moja ya article niliyowahi kusoma nimebahatika kukutana na maneno haya hapa chini,..
Tafadhali naomba kujua ukweli wa huu ujumbe ndugu zangu!!
A MOTHER can make her BOY intelligent in a period of 20 years but a GIRL can make that BOY to be a STUPID and FOOL within 2 minutes.
How far is this TRUE?
THINK ABOUT IT!!!
Mfano mzuri ni Mushi wa U4 na Munissi wa Mwanza

asiyejielewa kivipi mkuu,..
tena kwa confidence kubwa sana mkuu,..