Haya maneno maana yake ni ipi?

Haya maneno maana yake ni ipi?

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,401
Umdhaniaye ndiye kumbe siye
Unaesema siye kumbe ndiye

Haya maneno yananichanganya sana
Yana maana gani hasa katika maisha tunayoishi??
 
Kwani wewe ni msukuma? hata ushindwe kujua maana ya msemo rahisi hivi wa kiswahili?
 
Hebu tusaidiane inawezekana ninavyoelewa sivyo wengine wanavyoelewa
 
usikubali unachokiona kwa macho..waweza sema sukari kumbe ni chumvi.
 
Back
Top Bottom