- Thread starter
- #21
anhaah kwa hyo sasa wayahudi huwa hawaamini kristo sio??Wakristo ndo wanajipendekeza kwa Mayahudi.
anhaah kwa hyo sasa wayahudi huwa hawaamini kristo sio??Wakristo ndo wanajipendekeza kwa Mayahudi.
Sasa mkuu kama sio maandiko matakatifu mbona yaliyoandikwa yote yapo..?biblia sio maandiko matakatifu ya mungu
ni hadithi za kukopi kutoka maandiko ya misri(kemet) na kuchanganya na uongo wao
ni kwel ila kuna tofauti ya vitabu.Na Muislam naye atakwambia Hivyo hivyo kwa upande wa maandiko yake!
labd pengine anajiamini mkuu mpaka yeye kuamua kuongea hivyo.Duuuuhhh ,,ili suala watu wanalichukulia kirahisi sana ,, Lkn For sure nitukio kubwa sana kutokea na lenye kusindikizwa nambo mengi !!!.
Hofu yangu nijuuu ya Uhai wa Trump !!. Marais wengi Wa US walojaribu kuliingiza ili suala walipotezwa vibaya.
Ref....JF Kennedy.. Lincoln...
wote hatujui kama Mungu yupo au hayupo but aaminie mpk mwisho ndie atakayepona..Kitu cha kwanza kabisa unachotakiwa kujua ni kwamba hakuna Mungu.
Ukijua hilo kwanza, ndipo utaweza kuangaliamambomengine yote kwa mwanga sawa,kwamba hizi zote ni siasa za binadamu tu.
Bila kujua hilo, habari za Mungu zitapotosha kila kitu.
yapi hayo yapo?Sasa mkuu kama sio maandiko matakatifu mbona yaliyoandikwa yote yapo..?
Msimamo wa Marekani ni mmoja, na tayari wamesha tangaza kuhamisha ubalozi wao ulipo katika mji Mkuu wa Israel, Tel Aviv hadi Jerusalem, ambapo pia makao makuu ya Israel yatahama kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem.
Ikumbukwe amani ya Mashariki ya kati ipo rehani miaka mingi kutokana na ugomvi kati ya Israel na Palestina.
Mgogoro huo umesha sababisha hadi Mataifa makubwa dunia kuwa na blocks, wengine wakiwa upande wa Israel na wengine upande wa Palestina.
Hatua hii ya Marekani inasababisha Baraza la usalama la Umoja wa maifa " United nation security Council" kuitisha kikao Cha dharura kujadili na kutathimini tamko hilo la Marekani.
Sasa katika hatua hii, nasi binadamu tulio na utashi wa fikra, tumejikuta tuna nasa katika mgogoro huo wa Mashariki ya kati.
Wengi wakiunga mkono Israel, kwa mema au mabaya kwa sababu ya " imani" kadhalika kwa upande wa Palestina.
Pia Kuna wengine wapo upande wa Israel ila haawaungi mkono wanayo fanyiwa Palestina. (Wengi hawa ni wanaharakati)
Sasa:-
1. Tunaombeni mtusaidie sisi watu wa imani!
Maandiko yanasema atabarikiwa ataye Ibariki Israel na atalaaniwa yeye atakaye ilaani. Hilo ndilo agano la Mungu.
Pia kitabu cha Zekari 12:9! Kinasema, "Hata itakuwa hivyo nitafuta, kuangamiza Mataifa yote watakao kuja kupiga na Yerusalemu"
Kwa maneno hayo, tuna sababu ya kuungana na Israel, ili tusipingane na ahadi ya Mungu,? tuna sababu ya kuunga mkono Israel ili tukwepe laana?Tuna sababu ya kuunga Israeli ili kuwa salama?(Kama mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla?)
Pia watu wa haki za binadamu na wanaharakati wasaidiwe pia,wawe tayari kuona wengine wanaangamia kwa taifa la Israel??
Haya mambo yanahitaji tafakuri ya kiimani,kitheologia kihistoria na kibinadamu
ANGALIZO::USIWE MSEMAJI WA MWINGINE.
wote hatujui kama Mungu yupo au hayupo but aaminie mpk mwisho ndie atakayepona..
biblia sio maandiko matakatifu ya mungu
ni hadithi za kukopi kutoka maandiko ya misri(kemet) na kuchanganya na uongo wao
wote hatujui kama Mungu yupo au hayupo but aaminie mpk mwisho ndie atakayepona..
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kama inavyoweza kuthibitishwa kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10 katika base ten math.wote hatujui kama Mungu yupo au hayupo but aaminie mpk mwisho ndie atakayepona..
saw saw mkuu..Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kama inavyoweza kuthibitishwa kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10 katika base ten math.
but as believe kwamba yupo mkuuMzee sentensi uliyotoa ni mutually exclusive,ni oxymoronic sentence....Hujui kama yupo au hayupo,hiyo guarantee ya kupona umeipata wapi then?
Ushahidi tafadhari... Na ututajie aliecopy...biblia sio maandiko matakatifu ya mungu
ni hadithi za kukopi kutoka maandiko ya misri(kemet) na kuchanganya na uongo wao
ni kwelHii mada ni mzuri kama tukitoa udini sema itachafuka kwa kua kila mtu atatetea imani yake badala ya uhalisia.
Watu wamejitoa akili na kuamua kukubali tu Mungu yupo kwa uvivu.Mzee sentensi uliyotoa ni mutually exclusive,ni oxymoronic sentence....Hujui kama yupo au hayupo,hiyo guarantee ya kupona umeipata wapi then?
Unakuwaje na hakika Mungu yupo?Wengine tuna hakika Mungu yupo