Haya mambo yanahitaji tafakuri ya kiimani, kitheologia, kihistoria na kibinadamu

but as believe kwamba yupo mkuu

Unaamini yupo,kama yupo by associate na negation unaamini Shetani pia yupo?....Kama Shetani pia yupo,wote wawili wapo na inavyoonesha kwa ugomvi wao,wote karibia wana nguvu na uwezo sawa,utabisha najua.....na kama Mungu huyo huyo ndie kamuumba huyo Shetani,inakuaje leo kinyago alichokichonga yeye kimtishie tena?.....wewe mwanadamu mungu kakuumba,hukumuomba akuumbe,kaamua mwenyewe,kakuleta yeye..hukua na kosa lolote...kwa jinsi mungu wako alivyo careless kajenga na lishetani lije likurubuni ili akuchome moto milele...kwahiyo kwa kifupi Mungu ndie source of all these evils.The bad guy hapa ni Mungu.Yeye ndie kajenga vyote hivyo.Wa kumlaumu ni yeye,hawezi kwepa hizi lawama.
 
Baada ya vita kuu ya pili ya dunia ndo matatizo yalipoanza
wayahudi waliouwawa huko Ujerumani wakawa wanashawishi dunia
'warudi kwao'

Sasa kwao ni wapi? ndo ikasemwa itazamwe biblia...
biblia ikasema kwao ni ulipo mto nile
ndo maana ilikuwa bado kidogo wawekwe Uganda,,
na hata Tanzania pia ilifikiriwa...
Ethiopia pia......mwisho ndo wakapelekwa Palestine
huku Palestine iko chini ya UK..
ukitazama sana source ya conflicts nyingi duniani utaona
UK ndo source.....

Hata India na Palestine ..UK ndo source...
How about babylonian war of 600BC? Kihistoria pia wakati wa falme ya Juddah inasemekana waliishi mashariki ya kati.

Dola yao iliposhindwa vita wakakimbia kika kona.
 
How about babylonian war of 600BC? Kihistoria pia wakati wa falme ya Juddah inasemekana waliishi mashariki ya kati.

Dola yao iliposhindwa vita wakakimbia kika kona.


Muhimu kujua ni kuwa wakati UN wanaijadili kuundwa tena nchi ya Israel
tayari kulikuwa na watu hapo wanaishi
ndo hao wapalestina...
je wapelekwe wapi hao wapalestina?
 
Ushahidi tafadhari... Na ututajie aliecopy...

Buddha

� Buddha was born of the virgin Maya, who was considered the "Queen of Heaven."
� He was of royal descent.
� He crushed a serpent's head.
� Sakyamuni Buddha had 12 disciples.
� He performed miracles and wonders, healed the sick, fed 500 men from a "small basket of cakes," and walked on water.
� He abolished idolatry, was a "sower of the word," and preached "the establishment of a kingdom of righteousness."
� He taught chastity, temperance, tolerance, compassion, love, and the equality of all.
� He was transfigured on a mount.
� Sakya Buddha was crucified in a sin-atonement, suffered for three days in hell, and was resurrected.
� He ascended to Nirvana or "heaven."
� Buddha was considered the "Good Shepherd", the "Carpenter", the "Infinite and Everlasting."
� He was called the "Savior of the World" and the "Light of the World."

Horus of Egypt

� Horus was born of the virgin Isis-Meri on December 25th in a cave/manger with his birth being announced by a star in the East and attended by three wise men.
� He was a child teacher in the Temple and was baptized when he was 30 years old.
� Horus was also baptized by "Anup the Baptizer," who becomes "John the Baptist."
� He had 12 disciples.
� He performed miracles and raised one man, El-Azar-us, from the dead.
� He walked on water.
� Horus was transfigured on the Mount.
� He was crucified, buried in a tomb and resurrected.
� He was also the "Way, the Truth, the Light, the Messiah, God's Anointed Son, the Son of Man, the Good Shepherd, the Lamb of God, the Word" etc.
� He was "the Fisher," and was associated with the Lamb, Lion and Fish ("Ichthys").
� Horus's personal epithet was "Iusa," the "ever-becoming son" of "Ptah," the "Father."
� Horus was called "the KRST," or "Anointed One," long before the Christians duplicated the story.

Mithra, Sungod of Persia

� Mithra was born on December 25th.
� He was considered a great traveling teacher and master.
� He had 12 companions or disciples.
� He performed miracles.
� He was buried in a tomb.
� After three days he rose again.
� His resurrection was celebrated every year.
� Mithra was called "the Good Shepherd."
� He was considered "the Way, the Truth and the Light, the Redeemer, the Savior, the Messiah."
� He was identified with both the Lion and the Lamb.
� His sacred day was Sunday, "the Lord's Day," hundreds of years before the appearance of Christ.
� Mithra had his principal festival on what was later to become Easter, at which time he was resurrected.
� His religion had a Eucharist or "Lord's Supper."

Krishna of India

� Krishna was born of the Virgin Devaki ("Divine One")
� His father was a carpenter.
� His birth was attended by angels, wise men and shepherds, and he was presented with gold, frankincense and myrrh.
� He was persecuted by a tyrant who ordered the slaughter of thousands of infants.
� He was of royal descent.
� He was baptized in the River Ganges.
� He worked miracles and wonders.
� He raised the dead and healed lepers, the deaf and the blind.
� Krishna used parables to teach the people about charity and love.
� "He lived poor and he loved the poor."
� He was transfigured in front of his disciples.
� In some traditions he died on a tree or was crucified between two thieves.
� He rose from the dead and ascended to heaven.
� Krishna is called the "Shepherd God" and "Lord of lords," and was considered "the Redeemer, Firstborn, Sin Bearer, Liberator, Universal Word."
� He is the second person of the Trinity, and proclaimed himself the "Resurrection" and the "way to the Father."
� He was considered the "Beginning, the Middle and the End," ("Alpha and Omega"), as well as being omniscient, omnipresent and omnipotent.
� His disciples bestowed upon him the title "Jezeus," meaning "pure essence."
� Krishna is to return to do battle with the "Prince of Evil," who will desolate the earth.
 
Unakuwaje na hakika Mungu yupo?

Unapoandika "Mungu" unamaanisha nini?

Unaweza kuthibitisha kwamba huyo Mungu yupo?

Kuwa na uhakika na kuthibitisha ni vitu viwili tofauti kabisa. Kwanza hata uthibitisho ambao mtu anaweza kumpa mtu mwingine kwa chochote kile sio lazima kila atakayepewa huo uthibitisho aukubali. Wengine wataukubali na wengine wataukataa.
 
Kuwa na uhakika na kuthibitisha ni vitu viwili tofauti kabisa. Kwanza hata uthibitisho ambao mtu anaweza kumpa mtu mwingine kwa chochote kile sio lazima kila atakayepewa huo uthibitisho aukubali. Wengine wataukubali na wengine wataukataa.
Hujanijibu hata unapoandika Mungu unamaanisha nini.
 
h
Mkuu, Mimi ni Mkristo pure, Ila the so called "Bible" siyo kitabu ambacho wote duniani wanakiamini, wengine wanaona ni kama tu hadithi za "kibanga ampiga mkoloni' So huwezi kunukuu maandiko matakatifu ya kwenye bible kuishawishi dunia.
uo ukristo wako unakusaidiaje kama huwezi kuitetea Biblia ambayo ndo mwongozo wako wa imani kama neno la Mungu unayemfuata?
 
Aaah nikweli hapo kuna mkanganyo kidogo,but ukifuatilia vizuri ile Israel ya zamani ilimkwanza Mungu sana baada ya kuwa watu wa kuabudu sanamu na kutenda maovu mengi.Mungu alipitiasha kwao misamaha mingi na wanamwahidi kukorejea tena hayo makosa lakini baada ya mda wanafanya tena hayo maovu.

Ndo hapo alipowatelekeza mazima,hivyo wakapigwa bita mpaka wakatawanyika sehemu mbalimbali duniani.Hawa tunao waona leo wakijiita Waisrael ni wazungu ambao baba zao na mama zao ni mixer yahudi na mzungu.

Wazungu walikuwa mstari wa mbele kuhakikisha hawa mazalia wanarejeshwa kwao yaaani Israel ya zamani.
wewe ukizaa na mtu kabila lingine mtoto anakuwa siyo wako? anakosa haki ya kuwa mtoto wako? kama wayahudi waliwaona Wazungu wale watoto waliozaliwa hawana haki na nchi yao ya asili?
 
historia ipi inayosema kwanza mwanzo walikuwa pale kwenye ardhi ya wapalestina?
Tukiacha ushabiki na kujitoa ufahamu, Wapaletina hawajawahi kuwa wamiliki wa mji wa Yerusalemu. Katika Historia tunaona miji yao ya utawala tangu enzi za Unated Kingdom of Israel chini ya King David. Wapalestina au Wafilisti walikuwa na miji yao mji wao utawala ambayo ni Ashdodi katika pwani ya bahari ya Mediterani au ukanda wa gaza kwa sasa. Pia mkumbuke Wafilisti au Wapalestina halisi siyo Waarabu. Hawa Waarabu wamekuwaje Wafilisti leo.
 
Tukiacha ushabiki na kujitoa ufahamu, Wapaletina hawajawahi kuwa wamiliki wa mji wa Yerusalemu. Katika Historia tunaona miji yao ya utawala tangu enzi za Unated Kingdom of Israel chini ya King David. Wapalestina au Wafilisti walikuwa na miji yao mji wao utawala ambayo ni Ashdodi katika pwani ya bahari ya Mediterani au ukanda wa gaza kwa sasa. Pia mkumbuke Wafilisti au Wapalestina halisi siyo Waarabu. Hawa Waarabu wamekuwaje Wafilisti leo.
mkuu reference ya biblia sio rejea sahihi
biblia ni utunzi tu ule
 
mkuu reference ya biblia sio rejea sahihi
biblia ni utunzi tu ule
Kipi rejea sahihi? hata suala la Historia ya Roman Empire pia siyo rejea sahihi? maana Watawala wa dola la Rumi ndo waliowatoa Wayahaudi kule mashariki ya kati mwaka 70 baada ya Kristo. Kile kitabu chenu kichoshishwa na adui wa Jibril yaani kilichoshushwa na shetani ndo reference sahihi?
 
Kipi rejea sahihi? hata suala la Historia ya Roman Empire pia siyo rejea sahihi? maana Watawala wa dola la Rumi ndo waliowatoa Wayahaudi kule mashariki ya kati mwaka 70 baada ya Kristo. Kile kitabu chenu kichoshishwa na adui wa Jibril yaani kilichoshushwa na shetani ndo reference sahihi?
unachemka kudhani mimi ni muislam
narudia tena,tafuta kitabu kingine cha historia na sio biblia
the bible is not consistent,it is full of contradictions
 
Sasa:-
1. Tunaombeni mtusaidie sisi watu wa imani!

Maandiko yanasema atabarikiwa ataye Ibariki Israel na atalaaniwa yeye atakaye ilaani. Hilo ndilo agano la Mungu.

Pia kitabu cha Zekari 12:9! Kinasema, "Hata itakuwa hivyo nitafuta, kuangamiza Mataifa yote watakao kuja kupiga na Yerusalemu"

Kwa maneno hayo, tuna sababu ya kuungana na Israel, ili tusipingane na ahadi ya Mungu,? tuna sababu ya kuunga mkono Israel ili tukwepe laana?Tuna sababu ya kuunga Israeli ili kuwa salama?(Kama mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla?)

Ndiyo maana muda mwingine mtu kama Kiranga naona hoja zake zinanguvu likija kwenye haya maeneo.
Hivi Sisi wengine siyo Binadamu kwenye Bible???.
Kuna Binadamu kwa Grade mbele ya Mungu???
 
Ndiyo maana muda mwingine mtu kama Kiranga naona hoja zake zinanguvu likija kwenye haya maeneo.
Hivi Sisi wengine siyo Binadamu kwenye Bible???.
Kuna Binadamu kwa Grade mbele ya Mungu???
Ni kweli,but kama ni mkristo utakuwa informed well kuwa wana wa Israel walipendelewa kidogo.
 
Back
Top Bottom