Haya mambo yanahitaji tafakuri ya kiimani, kitheologia, kihistoria na kibinadamu

biblia sio maandiko matakatifu ya mungu
ni hadithi za kukopi kutoka maandiko ya misri(kemet) na kuchanganya na uongo wao
Sasa mkuu kama sio maandiko matakatifu mbona yaliyoandikwa yote yapo..?
 
Duuuuhhh ,,ili suala watu wanalichukulia kirahisi sana ,, Lkn For sure nitukio kubwa sana kutokea na lenye kusindikizwa nambo mengi !!!.

Hofu yangu nijuuu ya Uhai wa Trump !!. Marais wengi Wa US walojaribu kuliingiza ili suala walipotezwa vibaya.

Ref....JF Kennedy.. Lincoln...
labd pengine anajiamini mkuu mpaka yeye kuamua kuongea hivyo.
 
Kitu cha kwanza kabisa unachotakiwa kujua ni kwamba hakuna Mungu.

Ukijua hilo kwanza, ndipo utaweza kuangaliamambomengine yote kwa mwanga sawa,kwamba hizi zote ni siasa za binadamu tu.

Bila kujua hilo, habari za Mungu zitapotosha kila kitu.
wote hatujui kama Mungu yupo au hayupo but aaminie mpk mwisho ndie atakayepona..
 
Msimamo wa Marekani ni mmoja, na tayari wamesha tangaza kuhamisha ubalozi wao ulipo katika mji Mkuu wa Israel, Tel Aviv hadi Jerusalem, ambapo pia makao makuu ya Israel yatahama kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem.

Ikumbukwe amani ya Mashariki ya kati ipo rehani miaka mingi kutokana na ugomvi kati ya Israel na Palestina.

Mgogoro huo umesha sababisha hadi Mataifa makubwa dunia kuwa na blocks, wengine wakiwa upande wa Israel na wengine upande wa Palestina.

Hatua hii ya Marekani inasababisha Baraza la usalama la Umoja wa maifa " United nation security Council" kuitisha kikao Cha dharura kujadili na kutathimini tamko hilo la Marekani.

Sasa katika hatua hii, nasi binadamu tulio na utashi wa fikra, tumejikuta tuna nasa katika mgogoro huo wa Mashariki ya kati.

Wengi wakiunga mkono Israel, kwa mema au mabaya kwa sababu ya " imani" kadhalika kwa upande wa Palestina.

Pia Kuna wengine wapo upande wa Israel ila haawaungi mkono wanayo fanyiwa Palestina. (Wengi hawa ni wanaharakati)

Sasa:-
1. Tunaombeni mtusaidie sisi watu wa imani!

Maandiko yanasema atabarikiwa ataye Ibariki Israel na atalaaniwa yeye atakaye ilaani. Hilo ndilo agano la Mungu.

Pia kitabu cha Zekari 12:9! Kinasema, "Hata itakuwa hivyo nitafuta, kuangamiza Mataifa yote watakao kuja kupiga na Yerusalemu"

Kwa maneno hayo, tuna sababu ya kuungana na Israel, ili tusipingane na ahadi ya Mungu,? tuna sababu ya kuunga mkono Israel ili tukwepe laana?Tuna sababu ya kuunga Israeli ili kuwa salama?(Kama mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla?)



Pia watu wa haki za binadamu na wanaharakati wasaidiwe pia,wawe tayari kuona wengine wanaangamia kwa taifa la Israel??


Haya mambo yanahitaji tafakuri ya kiimani,kitheologia kihistoria na kibinadamu

ANGALIZO::USIWE MSEMAJI WA MWINGINE.


Nijikute naamini some garbages from a piece of literature written by narcissistic old males of the 1st century with an ego huge than Serengeti for the mankind to follow....niache kutetea mweusi mwenzangu next door hapo nikatete majitu mabaguzi na huyo mungu wao ni baguzi namba moja for what?it does not make any sense.Hata kama ni imani,imani haitakiwi ku-insult human common intelligence this way,shame on them!
 
wote hatujui kama Mungu yupo au hayupo but aaminie mpk mwisho ndie atakayepona..
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kama inavyoweza kuthibitishwa kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10 katika base ten math.
 
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kama inavyoweza kuthibitishwa kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10 katika base ten math.
saw saw mkuu..
 
Baada ya vita kuu ya pili ya dunia ndo matatizo yalipoanza
wayahudi waliouwawa huko Ujerumani wakawa wanashawishi dunia
'warudi kwao'

Sasa kwao ni wapi? ndo ikasemwa itazamwe biblia...
biblia ikasema kwao ni ulipo mto nile
ndo maana ilikuwa bado kidogo wawekwe Uganda,,
na hata Tanzania pia ilifikiriwa...
Ethiopia pia......mwisho ndo wakapelekwa Palestine
huku Palestine iko chini ya UK..
ukitazama sana source ya conflicts nyingi duniani utaona
UK ndo source.....

Hata India na Palestine ..UK ndo source...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom