Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
Walifanya hayo waliyoyafanya ili kumjaza mzee upepo
Ni sawa mwanaume ukienda kuoa nyumba fulani, ukakuta mahari haina ubishi, kila unachokisema wanaitikia hakuna ubishi, send off haraka inapangwa, siku ya send OFF, furaha kubwa, hakuna huzuni, ujue huo mzigo wa misumari!.Si unaona mkuu au labda ilikuwa ni coincidence tu ila......
tiririkaNimeukumbuka huu uzi. Mnataka niwape update ya kule Malawi?