Haya mambo yalikuwa tu kwa mwenzako

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Kuna familia ya wa Irish wa Katoliki walitueleza mkasa wao. Baba ni daktari na mama ni mwalimu. Walibahatika kupata watoto watatu. Wakwanza binti Alishaolewa,
mvulanaval wa pili alikuwa chuo akisoma shahada ya uzamili. Kitenda mimba alikuwa mwaka wa kwanza chuo.

Familia ya wapenda dini, watoto walikuwa wavulana wa madhabahu kumsaidia padri utoto wao wote. Baba na mama wanakwenda misa asubuhi kabla ya kwenda kazini.

Christmas moja wametoka misa ya usiku, kitenda mimba kuwaita Baba na mama. Aliwaambia ana jambo la kuwaambia. Alisema yeye ni shoga na chuo amekutana na mpenzi ambae wanaishi pamoja haoni sababu ya kuwaficha wazee.

Yule baba alitueleza machozi yanamtoka. Anajiuliza alikosea wapi katika malezi.

Haya mambo yasikie tu.
 
Kuna familia ya wa Irish wa Katoliki walitueleza mkasa wao. Baba ni daktari na mama ni mwalimu. Walibahatika kupata watoto watatu. Wakwanza binti Alisha ole was, mvulanaval wa pili alikuwa chuo akitoka shahada ya uzamili. Kitenda mimba alikuwa mwaka wa kwanza chuo.

Familia ya wapenda dini, watoto walikuwa wavulana wa madhabahu kumsaidia padri utoto wao wote. Baba na mama wanakwenda misa asubuhi kabla ya kwenda kazini.

Christmas moja wametoka misa ya usiku, kitenda mimba Kuwait’s Baba na mama. Aliwaambia ana jambo la kuwa Amina. Alisema yeye ni shoga na chronicles amekutana na mpenzi ambae wanaishi pamoja haoni sababu ya kuwaficha wazee.

Yule baba alitueleza machozi yanamtoka. Anajiuliza alikosea wapi katika malezi.

Haya mambo yasikie tu.
Matamko ya EU na US ndiyo yanataka Tanzania turuhusu haya mambo ...kazi tunayo
 
We kijana mbona unahangaika hivi una wadudu wanakunyevua? Kila uzi upo na upuuzi wako, halafu wewe ni mtoto wa afande chagonja yule kilaza aliepewa u-RAS? Unataka kuteuliwa uvccm? Hebu weka makalio chini, ebooh..kenge wa blue! Usiku kucha una haha tu mpaka kuna kucha..umekomalia ushoga hayo mengine unamuachia nani kujadili? We vp..au unataka cheap popularity humu?
 
Wasome socrates na plato walikuwa watu gani na je ni enzi ipi?
Vilaza hawa and i bet shule za kata zimewaharibu bila shaka huyo dogo anaejiita chagonjam amesoma makurumla jioni..it doesnt click in my mind kwamba watu wawili waliokubaliana kufumuana marinda halaf mtu wa tatu unakereka..wanachoshindwa kuelewa "ushoga' ni status kama ujambazi, wizi uchangudoa nk..vyote hivyo si mila wala desturi zetu..sasa kwann mtu anapoitwa mwizi au jambazi kahaba ama shoga umshambulie bila uthibitisho? These people are homophobic..
 
We kijana mbona unahangaika hivi una wadudu wanakunyevua? Kila uzi upo na upuuzi wako, halafu wewe ni mtoto wa afande chagonja yule kilaza aliepewa u-RAS? Unataka kuteuliwa uvccm? Hebu weka makalio chini, ebooh..kenge wa blue! Usiku kucha una haha tu mpaka kuna kucha..umekomalia ushoga hayo mengine unamuachia nani kujadili? We vp..au unataka cheap popularity humu?
great minds discuss ideas. mbona mkuu unahamia kujadili watu tena badala ya hoja? Kama una hoja kwenye hayo mengine itoe. I am just reading between the lines
 
Huwezi ku compare gay/lesbian na mwizi sababu wizi haupo kwenye genes ila ni tabia inajijenga. Hawa watu wanakuwa nayo kwenye genes na wale ambao sivyo wameambukizwa sababu ya kuharibiwa na ndugu wa karibu. Kuna mtu ametoa ushuhuda jinsi baba yake mdogo alivyomharibu tangu akiwa miaka 10 na sasa hawezi kufanya tendo la ndoa na mwanamke sababu yeye mbele hakusimami. Ametoa ushuhuda na amesambaza. Tujue kuna kuzaliwa, shule, majumbani na mitaani. Tuongee na watoto wetu na kuwaangalia kila mara tunapowaosha tujue wapo salama? Hao wanaoyasema yawezekana ni waathirika ila hawataki kujitangaza.
 
We kijana mbona unahangaika hivi una wadudu wanakunyevua? Kila uzi upo na upuuzi wako, halafu wewe ni mtoto wa afande chagonja yule kilaza aliepewa u-RAS? Unataka kuteuliwa uvccm? Hebu weka makalio chini, ebooh..kenge wa blue! Usiku kucha una haha tu mpaka kuna kucha..umekomalia ushoga hayo mengine unamuachia nani kujadili? We vp..au unataka cheap popularity humu?
Mueleze aelewe!
 
Matamko ya EU na US ndiyo yanataka Tanzania turuhusu haya mambo ...kazi tunayo
Hawasemi tuyaruhusu, wanachokataa ni kuwa tusi wa criminalise na kuwakosea haki zao za msingi. Hawajasema turuhusu ushoga rasmi, NEVER. Wanasema watu kama hao kisiwe chanzo cha kuwaonea/kuwatesa/kuwadhihaki/kuwatenga, kuwaua- to the extreme and the like... kuwafanyia kama Makonda alivyokuwa ameanza. Unamkamata mtu unasema leta mkundu (ashukumu) tukuchungulie tuone kama hufanywi... kama walivyomfanyia Amber Lulu mpaka akashindwa kukaa mahakamani.......somethinf of that nature is there concern! Sky Eclat
Sky nilikuwa naongea na rafiki yangu (marehemu sasa- RIP) alioa sehemu za Eastern Usambara mountains (nisitaje ni sehemu gani kwa heshima ya watu wangu) wazee wakongwe/mamwinyi walimwita na kumwambia kuwa mwanamke lazima akupe nyuma... upuuzi kama huo. Hivi vitu vipo,kama ulivyosema, vinafanywa kwa siri. Juzi kulikuwa na kitchen party (my wife attended), MC alikuwa mwanamume shoga.. unaona walimwalika mwanamume shoga kuwa eti ndiye atanogesha function yao. Wanavipa nafasi katika jamii yao, kwa usiri mkubwa
 
great minds discuss ideas. mbona mkuu unahamia kujadili watu tena badala ya hoja? Kama una hoja kwenye hayo mengine itoe. I am just reading between the lines
U arr trying to create a certain personality that yo so smart and genius! For Fuvk*s sake stop quoting me! U are too naive on argumentation! Pole sana kijana i bet adolcense period inakuendesha..matokeo ya form 6 yanatoka lini?
 
Hawasemi tuyaruhusu, wanachokataa ni kuwa tusi wa criminalise na kuwakosea haki zao za msingi. Hawajasema turuhusu ushoga rasmi, NEVER. Wanasema watu kama hao kisiwe chanzo cha kuwaonea/kuwatesa/kuwadhihaki/kuwatenga, kuwaua- to the extreme and the like... kuwafanyia kama Makonda alivyokuwa ameanza. Unamkamata mtu unasema leta mkundu (ashukumu) tukuchungulie tuone kama hufanywi... kama walivyomfanyia Amber Lulu mpaka akashindwa kukaa mahakamani.......somethinf of that nature is there concern! Sky Eclat
Sky nilikuwa naongea na rafiki yangu (marehemu sasa- RIP) alioa sehemu za Eastern Usambara mountains (nisitaje ni sehemu gani kwa heshima ya watu wangu) wazee wakongwe/mamwinyi walimwita na kumwambia kuwa mwanamke lazima akupe nyuma... upuuzi kama huo. Hivi vitu vipo,kama ulivyosema, vinafanywa kwa siri. Juzi kulikuwa na kitchen party (my wife attended), MC alikuwa mwanamume shoga.. unaona walimwalika mwanamume shoga kuwa eti ndiye atanogesha function yao. Wanavipa nafasi katika jamii yao, kwa usiri mkubwa
Inaonekana unachagua maneno kwenye maazimio ya EU. Tanzania tuna sheria zinazokataza ushoga. Wanaielekeza Tanzania izifute sheria hizo (Calls on Tanzania to repeal laws criminalising homosexuality ). Sisi tunasema hapana. Au na wewe ni mmoja wao? Kufuta sheria ndiyo kuruhusu kwenyewe
 
Back
Top Bottom