Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,978
- 5,025
Watoto wanashinda na mapadri wanafikiri mchezo?Kuna familia ya wa Irish wa Katoliki walitueleza mkasa wao. Baba ni daktari na mama ni mwalimu. Walibahatika kupata watoto watatu. Wakwanza binti Alishaolewa,
mvulanaval wa pili alikuwa chuo akitoka shahada ya uzamili. Kitenda mimba alikuwa mwaka wa kwanza chuo.
Familia ya wapenda dini, watoto walikuwa wavulana wa madhabahu kumsaidia padri utoto wao wote. Baba na mama wanakwenda misa asubuhi kabla ya kwenda kazini.
Christmas moja wametoka misa ya usiku, kitenda mimba Kuwait’s Baba na mama. Aliwaambia ana jambo la kuwa Amina. Alisema yeye ni shoga na chronicles amekutana na mpenzi ambae wanaishi pamoja haoni sababu ya kuwaficha wazee.
Yule baba alitueleza machozi yanamtoka. Anajiuliza alikosea wapi katika malezi.
Haya mambo yasikie tu.
Hivi hizi kashfa zinazoendelea duniani kuhusu kanisa wanadhani ni hadithi?
Aliyependekeza mapadri waoe hakukosea.
Kanisa la Roman litakuja kukubali ushoga kutokana na nguvu inayotoka ndani.
Kwani Kuna mapadri mashoga na mapadri mabasha wengi tu.