Naona mzee anaomba million 35 kwenye TV, wahindi wamezuia maiti india. Sasa taaluma ya udaktari ni ileile ndio maana alifia huko. Kuna tiba gani India msiyoweza nyinyi? Yanatuabisha mambo haya, tufanyeni wenyewe
Aisee si kila tatizo linaweza kutibiwa nchini! Matatizo mengine yapo complex sana ambapo hapa kwetu vifaa Na utalamu tunapungikiwa kidogo! Kama unaweza Ni vizuri kumsaidia kuliko kusema maneno mengi. Mzee alikuwa anapigania uhai wa kijana wake! Mungu ampuzishe kwa Amani . Amen
Nimesikitika kumsikia Mzee yule akisema ameiomba serikali umugomboe imemkatalia kwa sababu alijipeleka mwenyewe bila kufuata sheria. Maana yake alifanya self refferal. Dada naona kama imekula kwake. RIP marehemu
Mheshumiwa rais .nakuombavibgilia jati hili suala la kumuona daktari katika hospitali binafsi kwa sh 30,000/= Na ukienda kumuoba tena vaada ya siku mbili unalipa tena kama hiyo .madaktari hawa wengi ni waajiriwa wa serekali mugombili au amana au hospitali nyengine za serekali .
Ambaobwanakwenda kwenywe hospitali binafsi jana part time .hili ni jipu .bila ya kuwepo wagonjwa hawa madaktari wangepata wapi hizo hela .tunaiomba serekali iunde kitu kama eura au sumatra katika hii sekta ya afya maana wanyonge tunakufa kwa sababu ya gharama kubwa za matibabu hasa hospitali binafsi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.