Haya makavu live (Part 2)


Ndo umeamua kumuaibisha Bishanga?
 
Last edited by a moderator:

Mrembo by nature nakupenda. Nataka kukuoa. Unasemaje?...
 
bebii nani huyooo
 
Shida ni pale ambapo mtu anajipa sifa ambazo hana. Mara oho baba yangu Mkubwa ni waziri wa...............Mama mdogo anakaa Uzunguni, Nani anataka story hapa!!!!
 

Umenena vema, ila umesahau kitu kimoja. Mwanaume wa kweli hawi na mwanamke mmoja kwakuwa mwanamke mmoja hamtoshelezi mwanaume wa kweli.

CC: Kaizer, Teamo, Fidel80, RR Bigirita, Kimey Kwa ajili ya kuweka sawa katiba ya chama.
 
Last edited by a moderator:
CC: Dena Amsi, hiviiiii.......nimekukosea nini aseee!!!
Salama lakini?
 
Last edited by a moderator:
Mtoa post , mbona kama umejeruhiwa mahali!? pooole kizenj
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…