Haya majina na mengineyo, yanajulikana Uswahilini tu, Au?

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
453
635
Haya majina na mengineyo, yanajulikana Uswahilini tu, Au?
  • Dulla
  • Mwasiti
  • Mwanne
  • Chausiku
  • Dotto
  • Kulwa
  • Chogo
  • Hakunaga
  • Chaurithi
  • Chizi
  • Yahya
  • Kadu
  • Shebby
  • ....
  • ....
Ebu ongezeni nanyi basi...
 
nina ndugy anaitwa mke gani.....mpaka Leo hajawahi kuolewa na anakaribia 50 sasa ivi, ana watoto tu..sijui mamake aliwaza mini kumpa jina hilo.
 
Back
Top Bottom