Hivi ndio hii!! vidole vimeteleza..............
jinyonge.njia rahisi.
jinyonge.njia rahisi.
Yan wewe ndie kilaza namba moja coz umetapika afu ukayarudia matapishi yako ukala na hapo ulipo umeshiba matapishi..Yani nyie wote vilaza!!!
Yan wewe ndie kilaza namba moja coz umetapika afu ukayarudia matapishi yako ukala na hapo ulipo umeshiba matapishi..
Haya tuambie ingekuwa vipi kama chit chat ingefungwa? Hilo sredi lako la kujikatia tamaa ungelibandika wapi? Manake mmu halilipi wala kwenye siasa halifai...
Chit chat OYEEeeeee!
Chit chat JUUUUUUuuuuu!Sijapata ona kilaza kama wewe. umeshindikana.
Lol.Itafutwa tu siku si mingi. Nyie mna maisha mazuri kiasi gani kukaa kwenye Cheat-Chat 24/7 umbeya tu.