Haya maisha nimeyamiss sana

Haya maisha nimeyamiss sana

Bismack

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
387
Reaction score
496
kwa wale vijana wa mjini tunao waita mboga saba hawawezi kujua utam wa hii lifestyle.
IMG-20180303-WA0009.jpg
 
Harage la chunguni asee linalika na ugali bila kuhitaji kuunga na tamu haswaa
 
kwa wale vijana wa mjini tunao waita mboga saba hawawezi kujua utam wa hii lifestyle.View attachment 719815
Ukichanganya na haya yanayochomwa lazima usiku uombe msaada wa kusindikizwa kichakani/shambani na jembe halafu sikilizia watakavyokusimanga kabla hajatokea muungwana wa kukusindikiza [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom