haya maisha ni magumu sana.

haya maisha ni magumu sana.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
usije ukadhani huyo mdau anakunywa maji, hapana kilichomo kwenye hilo dumu la njano sio maji jamani, hiyo ni mboga.
1977261_449569255172003_1389303963_n.jpg
 
duu kweli naona hapo Pembeni ana DASAN
I think akija mgeni hapo labda mama/baba mkwe wake Ndibalema,hilo dumu lita katwa kati kwa kati ili kila mtu afurahie hiyo ligi!
 
Last edited by a moderator:
Hilo tumbo la kumaliza huo ugali wote liko wapi? Au ndio anajaza kuanzia shingoni hadi kwenye unyayo? A.K.A chavi chavi.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah! Kuna watu wanakula aise
 
Back
Top Bottom