Haya Maisha Haya.....

Maisha ni sawa na maji kwenye chupa, yakitingishwa yanabadilika yapendavyo.
 
Maisha ni fumbo kubwa sana...na hakuna anayeijua kesho yake zaidi ya Mwenyezi Mungu, tujitahidi kuishi vizuri na wenzetu kwasababu hatujui kesho yetu itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…