Haya Maisha Haya.....

Usimdharau binadamu yoyote yule duniani Mkuu na wahenga walituachia wosia kabla hujafa hujaumbwa. Maisha ni safari ndefu sana.
Kuna wimbo aliimba jide, Kuna sehemu anaimba hivi, usikatae akikwita labda kesho yatakukuta dunia yabadilika hujui lini utaanguka
 
Yani hapo hujui ya mbeleni aisee,cha msingi ni kuendelea kuishi tu
 
Daaa maisha bana, nikumuomba mungu tu yasije yakakukuta.....huwa inaumiza kukutana na wenzako ulikuwa nao pamoja wamefanikiwa wew upo upo tu
 
Daaa maisha bana, nikumuomba mungu tu yasije yakakukuta.....huwa inaumiza kukutana na wenzako ulikuwa nao pamoja wamefanikiwa wew upo upo tu
Inabidi ikufurahishe pia. Ni vizuri watu wote wafanikiwe.
 
MKUU, TUSIMSINGIZIE MUNGU.

NI AFRIKA PEKEE NDIKO WATU HAWAJUI KESHO ITAKUWAJE KUTOKANA NA MIFUMO MIBOVU YA UCHUMI NA UTAWALA
 
Maisha ni safari ndefu inayohitaji juhudi na uvumilivu...

Wengi wanaofanikiwa mara nyingi ni wale ambao hawa-complicate maisha...


cc: mahondaw
 
Yani pale lyamungo serve kulikuwa na familia moja matata sana! Yani maumivu kutokana na umaskini uliopitiliza pale kwetu ulikuwa wimbo. Lakini sasa.. Mungu awarehemu sana! Huruma ya Mungu ishuke wakubali hali ya sasa.
 
Kama ni age mate wa Jakaya basi Lemutuz ana afya njema Sana
 
Kwa kweli maisha yanachangamoto zake nyingi sana, na kwa sababu hatuijui kesho yetu basi ndio kabisa maisha yanakuwa unpredictable. Na muda mwingine tunaconcentrate kwenye maisha yetu binafsi tukiamini tunaweza hata kujenga future za watoto wetu peke yetu. Huwa tunasahau kumkabidhi Mungu maisha yetu na ya watoto wetu. Kwake Mungu pekee ndio kunaguarantee ya maisha mazuri mbeleni ila kwa nguvu zetu tutataabika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…