Haya Maisha Haya.....

Hivi jamaa ana maisha magumu sana au watu hawapendi lifestyle yake?! Kama jamaa ana maisha magumu sana basi asilimia kubwa sana ya waTZ wanaishi maisha magumu sana!
 
kuna visa kuvisema hapa naingiwa na hofu na mfadhaiko ila kuna watu mambo yalikuwa safi ila sasa yameenda kombo ila yote maisha cha msingi ni pumzi ya uhai, duniani tunapita tu yule unayeweza kumuinua fanya ivyo MUNGU atakubariki
Maisha hayana kanuni, tushukuru kwa kila tunachopata.
 
Maisha ni safari na hatujui kesho yetu, lakini $ na uswazi vinaendana?
 
Hahahaha angalia asikusikie maana jamaa hapendi kuambiwa ukweli
 
Kweli mkuu, na hata katika maisha kwa ujumla wake. Simaanishi kama jamaa wa makopo na familia yake walikosea mahali, ila kuna watu wanahisi kuwa hali walizonazo waliumbiwa wao pekee na walio chini yao ni kama wanyama vile. Tujitahidi sana kuheshimu kila tunayekutana naye maishani, mifano kama yako nimeiona MINGI sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maisha ndivyo yalivyo,
Hata le mutuz pale alipo si kuwa anafurahia basi tu ili mradi maisha yaende na kujifariji na wabebezi!
Hahahahahahahaaaa daaaah noma sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
akiachia zile nywele labda apake pico!
 
Mim leo ni rais wa vi-wonder!
Mara Paaap mambo yanabuma narudi Kolomije sijui nani atakuwa rafk yangu aliye na marinda yake yote.
 
Wewe ndio kichaa. Tukiwaambia mnadandia hoja bila kufikiri ndio hivo. Sasa hapo rais kaingiaje? Uwe na adabu mbuzi wewee
ha ha ha ha ha mkuu huyo jamaa humjui? mzoee tu hana shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…