Haya maisha haya! Acheni tu

Haya maisha haya! Acheni tu

Ebu ngoja nikupe connection...
Upate kirikuu.
Na kama ukifanikiwa, utaleta hesabu ya ngapi kwa siku..??
Are you sure kwamba ukipata utauza simu na upate leseni..??
Na what if akihitajika mdhamini, utakuanae..??
Naomba namba yako ya simu nikupigie.
Mkuu lamda umsaidie kupata leseni ,kupata lesen ya kuweza kuendesha kirukuu ni daraja E , Kwa elfu sabini hawezi pata hiyo leseni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom