Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,777
- 63,509
Wakuu vipi,natumaini mko poa na hii wkend tulivu isiyokuwa na bashasha.
Kwa mtazamo wangu wkend haiwezi kwenda au kuisha vizuri kama hukupata uno kwa mwenzi wako.Miaka ya nyuma kidogo kuanzia siku ya ijumaa n.k watu wengi walikuwa wanatoka mikoani, wanakuja jiji la maraha kwa ajili ya uno. Haijalishi unapiga pombe, soda, juisi, maji lakini mwisho wa gemu ilikuwa ni uno. Kweli bila uno...hapa duniani pangekuwa pagumu pa kuishi.