Haya maisha bhana, angalieni haya Makaburi ya Kifahari....

hao ni hardworker..hakuna jipya.

Ivan 'the Don' Mume wa Zari,walimzika na mamilioni.

Tafuta pesa ili ikuzoeee.
 
Hivi ukibuni mradi wa kujenga eneo la makaburi yenye hadhi siunaweza piga pesa kweli?
 
Hilo kaburi la kwanza kidogo niamin kuna mtu kaweka BMW juu kumbe kopo tu!!..

cheki ream, kioo na milango hilo sio real car!, a pretty artistic manipulation at hand tho!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…