MAWEED
Platinum Member
- Oct 11, 2016
- 4,617
- 16,422
Bora aondoke na vyote ila sio boksa..usipomuoa anakuroga kuptia boksaAf unakuta mwanamke amekuha geto anavaa boksa yako
Bora aondoke na vyote ila sio boksa..usipomuoa anakuroga kuptia boksaAf unakuta mwanamke amekuha geto anavaa boksa yako
Halafu hata kibuti kikitembea jezi inaendele kuvaliwa kama kawaida.Kuna wale wa kuvaliana nguo mara kaja geto kachukua jezi tena yenye jina,mara converse,mara pull over...
Haya huwa hayadumu,kibuti ni muda wowote
Cha msingi umepata utelezi mkuu.Ahaha kumbe au ww cha msingi hapo ninin?
Ila Hannah umeoptea sikuiz unacheza upande ganiCha msingi umepata utelezi mkuu.
sharekebuisha 😂😂Bora aondoke na vyote ila sio boksa..usipomuoa anakuroga kuptia boksa
Hadi nimechungulia umejoin lini[emoji23]Ila Hannah umeoptea sikuiz unacheza upande gani
Inavaliwa kama mbwai mbwai tu...hiki kizazi cha moto,halafu atatongozwa na amevaa jezi yako hivohivoHalafu hata kibuti kikitembea jezi inaendele kuvaliwa kama kawaida.
Yale mambo ya tumeachana ngoja nikurudishie vitu vyako au nivichome yalishaenda na gharika ya nuhu.
NomaNi
sharekebuisha
Hahahaha dah u made myday...Cha msingi umepata utelezi mkuu.
Na hapo ikiwa na jina ndio pona yake kama haina jina siku unashangaa na boyfriend wake kaipigilia..dadeeekInavaliwa kama mbwai mbwai tu...hiki kizazi cha moto,halafu atatongozwa na amevaa jezi yako hivohivo
Hahahah ukihisi ingetoka tone gani? Ya kipole/kihuruma au ya kicheko?Hahahaha dah u made myday...
Vile nimewaza tone ya hii komenti laiti ungeongea kwa sauti
DohNa hapo ikiwa na jina ndio pona yake kama haina jina siku unashangaa na boyfriend wake kaipigilia..dadeeek
Ya kipole yan unyonge flan ivHahahah ukihisi ingetoka tone gani? Ya kipole/kihuruma au ya kicheko?
Umepatia mkuu.Ya kipole yan unyonge flan iv
Na jinsia yako ndio imefanya tone iwe inferior halafu kwenye utelezi tena,unaanzaje kuvimba hahahaUmepatia mkuu.
Ahahahah wewe kajinga sana 😂😂Hadi nimechungulia umejoin lini[emoji23]
Ahhaha unataka achome motoInavaliwa kama mbwai mbwai tu...hiki kizazi cha moto,halafu atatongozwa na amevaa jezi yako hivohivo
Ukumpa nauli nini 😂😂Kuna demu alikuja gheto kavaa vitu vya mshikaji wangu nakaa naye yeye mwanajesho so kavaa T shirt yake na kapelo ya jeshi kaondoka navyo Hadi leo hajarudisha sema Jamaa yupo congo now huyo mjeshi pia bracelets na necklaces za mchizi demu kakomba zote so inaumiza Sana achilia mbali jagi la umeme alilobeba na Seti ya vijiko na raba zangu za mazoezi
Hakikisha uingizi demu gheto hasa hawa mademu wa uswahilini.
Anapokaa hatumii nauliUkumpa nauli nini 😂😂