Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Nenda kule kenye uzi wa Escrow buanaKwa hiyo unataka vyeti vya kughushi vihalalishwe?
waiter zungusha tena[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Nenda kule kenye uzi wa Escrow buanaKwa hiyo unataka vyeti vya kughushi vihalalishwe?
Kimsingi mtu kama huyu ni qualified na kumfukuza ni kumwonea tu. Kufeli mtihani kama wa form four inaweza kutokea hata kwa mtu mwenye uwezo mzuri. Watu kama hawa wangefumbiwa macho ila mkazo uwekwe kwa wanaoajiriwa sasa. Mimi bado nasisitiza kwenye vyeti feki wangecheza na groups za watu hawa:
1. Waliochukua vyeti vya watu wengine huku wao wenyewe hawana zile qualifications
2. Walionunua vyeti huku hawana qualification.
3. ''Waliohitimu'' shule na vyuo feki (nyingi zipo online). eg: Unakuta mtu anaitwa Dr Kikojozi kumbe phd yake kasoma online kwa nusu mwaka.
Crime haina expire date, sometimes muhusika anaweza kuwa ame move on but ikigundulika lazima awajibike, huenda aliziba nafasi ya mtu mwingine ambaye kwa kukosa stahili yake haku recover hadi leo.
Hiyo lugha yenu wala siijui sana , nyumbani kwangu wala haiongewi hata kidogo , hii natumia tu hapa Jf ili kurahisisha mawasiliano .
Nia ya serekali ni nzuri kukomesha vyeti vya kugushi. Ila nadhani concentration kubwa iwe ya kuzuia yasitoke. Wngine labda wapewe tu warning kuwaeleza kuwa waliyofanya sio sahihi hata kidogo au hata wapigwe pelnatry kwa kushushwa vyeo ili wapate pinch! Just thinking aloud!Kuna maamuzi mengi ya serikali hii ya awamu ya tano unajiuliza tu nani ni 'mastermind'?
na anajua hasa hasara ya maamuzi hayo au ili mradi 'sheria zifuatwe'?
La kwanza ni la vyeti feki.....binafsi nilifikiri walipaswa haswa kutazama vyeti bandia vya kitaaluma
ambavyo kama ni feki madhara yake yanajulikana...
lakini cha kushangaza wame concentrate sana na vyeti vya kidato cha nne...
Sasa unakuta mtu ana cheti bandia cha kidato cha nne lakini alitumia cheti hiko kusoma
taaluma akafaulu na kufanya kazi kwenye taaluma husika miaka hata 20
leo unakuja kumfukuza huyu mtu...hasara ni ya nani hasaa hapa?
mfano huyo mtu ni mwalimu au daktari.....je nani watakao athirika?
tuna walimu wa kutosha na madaktari wa kutosha?
Nimesikia tetesi kuna Professa wa Chuo kimoja maarufu kakamatwa na cheti cha form four
feki...proffesa huyu keshafundisha wanafunzi tele anakaribia kustaafu.....
Kama vyeti vya darasa la saba wamesema havina umuhimu..tujiulize na hivi vya form four
kuanza kuvichimba chimba leo kuna umuhimu gani iwapo wahusika wana vyeti vyao vya kweli vya taaluma zao? au ndo 'siasa za kukomeshana kila sekta' tu?
hivi hili zoezi ndo linajenga au linabomoa?
Sasa tuje na maamuzi ya kufunga biashara za wote wanao tuhumiwa kukwepa kodi..
je tukifunga hizo biashara na wanaotegemea hizo biashara kufilisiwa
ndo tumejenga?
Kwanini wasiwekewe utaratibu wa kuanza kulipa hata kidogo kidogo taratibu?
walioajiriwa kwenye biashara hizo je? hatuwajali?....
kama mtu hajalipa kodi miaka 10 je hatuoni ni uzembe pia wa serikali?
kufilisi na kufunga tu kila biashara wakati ukwepaji kodi ulikuwa kama ni utamaduni wa nchi nzima
kunasaidia nini?....si bora walazimishwe kulipa hata nusu ya kodi wanayodaiwa?
na biashara zao zibaki kuajiri na kuchangia uchumi?