MwalimuZawadi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2007
- 643
- 68
Hivi mambo ya TV, sofa, laptop, makabati ya nguo, vitabu, magazeti viatu dressing table chumbani vinatafuta nini? chumbali kinachotakiwa kuwepo ni pajama zilizoko mwilini, bed, bedsheets, domu, few soft towels pieces basi. hata barua haitakiwi chumbani. Hitu vyote hivyo vingine viishia dressing room. kama nyumba haina hiyo sehemu ya dressing room ( ili mijengo yetu ya kizamani) au mnaishi kwenye nyumba ya kupanga, then try to be decent to the real meaning of master bed room. Mambo yatakuwa poa kabisa. Otherwise mama hatakawia kuanza kufuma mikeka au vitambaa usiku kitandani
BrownEye
Umesahau wengine sefu zimo humo humo. Mbaya zaidi wakuu wengine wanaingia na silaha na kuziweka chini ya mto...eti sheria hairuhusu kuiweka mbali...ndoa nyingine sarakasi kweli kwi kwi kwiiiii