Haya hii ni Kwa Wadada-TV coming between my husband and me | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya hii ni Kwa Wadada-TV coming between my husband and me

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Shadow, Dec 21, 2008.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,907
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Check out this complaint from one of you and what will be your take?

  Here is her complaint


  My husband is addicted to the news. We have been married for two years now. In the beginning, our relationship was wonderful. Lately, however, he comes home and goes straight for the TV. He watches the all the evening news bulletins and then watches CNN until 2am. On weekends when there are fewer news broadcasts, he goes through the weekend newspapers, devouring them from cover to cover. I can't stand it anymore. My friends tell me that I should not complain because I have a husband who at least comes home early everyday. Is there any remedy that can fix this unbearable situation?

  http://www.eastandard.net/relationship/InsidePage.php?id=1144001107&cid=431&
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160

  ...poor lad, i guess he's expecting 'some form of ' an appointment from the President... wapo nchi gani? :D
   
 3. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,907
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  [B]Mambo ya Kenya ...majirani zetu hao[/B]
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,622
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Inabidi nae ajifunze kuangalia news... then watabanana hapo kwenye sofa
   
 5. M

  Mutu JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2008
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ahahahaaaaaaaaaaaaaa this is smart
   
 6. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,265
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  lol ur so clever bro...n sharp!

  watabanana hapo hapo hehehe!hala hala jamaa asije hamishia tv n magazeti kwingine where patamruhusu awe peke yake tu
   
 7. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Really!..that is too boring...i second that woman 100%.
   
 8. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jaribu kukaa naye hapo kwenye sofa mu watch tv wote, kama mambo hayalipi sasa dawa just keep yourself also busy with other things too, mpaka siku akitaka kurudi nakuongea na wewe. Maana huwezi kumlazimisha kuongea ili hali hakujibu. Na ukiona yana zidi nenda kajirushe njee bwana. Na yeye akienda ndo hapo umuulize sasa inakuwaje mkuu! We solve the problem au u kick off. Life is too short jamani. Hamna mda wa kubembelezana waliyafanyaga ma bibi zetuuuuuuuuuu!!!!!!
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 64,034
  Likes Received: 61,766
  Trophy Points: 280
  I do agree...to much of anything is harmful either to your health or relationship.
   
 10. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,907
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  huyo mdada anatakiwa aamishie TV bedroom na kuangalia TV lazima ulale bed .. mchezo kwisha.
   
 11. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ninakubaliana na yote yaliyosemwa. Kila binadamu ana mapungufu yake. Kaa na huyo mtu wako muulize nini kimemsibu, asipokujibu muitie rafiki yake wa karibu aongee nae ikishindikana waite wazazi wake ili wamuulize kuna tatizo gani. Ninadhani kwa njia hiyo unaweza kupata jibu. Bora hata huyo mtu wako anakuja nyumbani kwa wakati kwani wapo wengine wanakuja asubuhi hata watoto wanamsahau akija ni lazima ajitambulishe.
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2008
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 23,297
  Likes Received: 13,559
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ya addiction yapo. Itv ilipoanza walikuwa na program ya Egoli ikianza 1:30 usiku. Wife akawa ni mgonjwa wa Egoli. Mimi nikawa naangalia DTV saa 1:30 ndio michezo. Ikifika 1:30 kila siku ni ugomvi. Japo kulikuwa na marudio Jumamosi usiku na Jumapili asubuhi, haikusaidia mpaka ikanunuliwa TV ya Pili, ndipo amani kidogo ikapatikana. Yeye anaiangalia hiyo Egoli kila siku na bado Jumamosi anaangalia tena marudio mpaka odd time, hakuna cha huduma wala cha mume.

  Ilipofika wakati wa World Cup ikawa zamu yangu naangalia mpaka analala ikifikia siku hamna mechi ya mpira ndipo unaulizia huduma za kawaida na bado unakataliwa eti endelea kuangalia mpira!.

  Na siku hizi yamekuja haya mambo ya film za Bongo, ni DVD mpaka chumbani kila filamu lazima aione na bahati mbaya mimi hazipandi bado ni ugomvi ila kukicha. Haya mambo ya TV ni balaa
  Yanatuharibia familia.
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  ...I bet kuna wengine humu! "Jamii forums" comes between the spouses!

   
 14. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,907
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145

  Pasco, pole sana. Wanasema wanandoa wanatabia ya kujenge ukuta wa Berlin bila kujijua. Mfano, wewe na mkeo matofari yenu ni magazeti, filamu za bongo , dvd, tv, mpira etc. Kila kitu kisipofanywa kwa vipimo ujenga ukuta mwisho mnajikuta mmkuwa West and East Germany, msipovunja hilo liukuta mwaweza kuta hamjuani tena na mwisho ndo kufa kwa mapenzi na kifo cha ndoa.
   
 15. BrownEye

  BrownEye Member

  #15
  Dec 24, 2008
  Joined: Jul 31, 2007
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi mambo ya TV, sofa, laptop, makabati ya nguo, vitabu, magazeti viatu dressing table chumbani vinatafuta nini? chumbali kinachotakiwa kuwepo ni pajama zilizoko mwilini, bed, bedsheets, domu, few soft towels pieces basi. hata barua haitakiwi chumbani. Hitu vyote hivyo vingine viishia dressing room. kama nyumba haina hiyo sehemu ya dressing room ( ili mijengo yetu ya kizamani) au mnaishi kwenye nyumba ya kupanga, then try to be decent to the real meaning of master bed room. Mambo yatakuwa poa kabisa. Otherwise mama hatakawia kuanza kufuma mikeka au vitambaa usiku kitandani
   
 16. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,907
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe BrownEye....hivyo vit ukiviendekeza unaenga ukuta na kuziba mawasiliano kati ya wapenzi...unajua watu wanatakiwa kuboresha MAWASILINO KATIKA MAHUSIANO
   
 17. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #17
  Dec 24, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,675
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  ...Safi saaana, mbona humo mwake mwake kabisa!!!
   
 18. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #18
  Dec 24, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 962
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35


  hahahahaha! This is very funny! Hizi ndoa zina kila aina ya mbwembwe na vituko.
   
 19. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #19
  Dec 24, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,675
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  ..Shadow, tatizo nililogundua ni kuwa sisi sijui niite waswahili au ndio waafrika tunapokuwa na wapenzi wetu suala la kuheshimu feeling za mwenza wako katika jambo fulani huwa hakuna matokeo yake kila mmoja anajitahidi kutaka aonekane yeye ni matawi ya juu na endapo hamtakubaliana basi visa huamia kwenye mambo ya msingi ya ndoa.Kwa mfano mi sioni tatizo kama mke wangu anaangalia tamthilia mpaka usiku mwingi la maana akipanda kitandani ninapohitaji haki yangu nipate sio eti mi nimechoka,same to mekama nitakuwa naangalia mpira moaka usiku wa manane sio tatizo nikiingia kilingeni mchezo kama kawa...lakini sisi sio ukiomba unaambiwa kaendelee na mpira wako huko huko!!!
   
 20. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #20
  Dec 25, 2008
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  JF wataalam, sawa Mkuu Mchongoma nimekupata
   
Loading...