Haya haya wamesha anza kabla ya 2015, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya haya wamesha anza kabla ya 2015,

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Oct 31, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Kimagege

  Kimagege JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  watauana sana hao.
   
 3. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapa tu ni wenyewe kwa wenyewe. Pata picha kwa wapinzani wao sasa.
   
 4. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyo hapigwi, anapewa huduma ya kwanza kichwa kinamuuma
   
 5. Dodoma one

  Dodoma one JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Co kichwa anaumwa na sikio jamani.
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Madaraka ni kitu kibaya sana aisee.
   
 7. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,752
  Likes Received: 1,014
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha sana kwani vijana hawa hawana tofauti kubwa baina yao - wote ni maskini, wanaotegemea vibahasha kila chaguzi, na baada ya hapo ni wachuuzi, na watu wa vijiwe vinavyolindwa dhidi ya bomoa bomoa ya jiji kwa sababu ni mashina ya UVCCM hata katika maeneo yasiyo halali, huku wote wakiendelea kuwa ni vijana wa kada moja - MASKINI Tanzania chini ya utawala wa CCM kwa miaka 50 plus;
   
 8. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,835
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  posho ya sh.2000/= inamtoa mtu roho
  mateja lazima yaongezeke!
   
 9. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  "Ulevi wa Madaraka" Noma Mkuu
   
 10. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,432
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  njaa noma...
   
 11. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,145
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Sio posho ya sh. 2,000/-, ni rushwa ya sh. 2,000/- ndio inayowagombanisha hao vijana masikini.
   
 12. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 499
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mtu mzima analia!
   
Loading...