haya bwana bado nipo nipo, mabaharia mpo

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
Pata ujumbe
 

Attachments

  • katumi nzuri.jpg
    katumi nzuri.jpg
    36.8 KB · Views: 739
Hii ilishakuja hapa, itakuletea ugomvi na mods hii mkuu, ilishazuiliwa hapa jamvini!
 
Mods please toeni hii haraka sana. inaweza kuwa consipiracy ya kuifungia jf.
 
Sorry wakuu picha nimeifuta, kutoka na ushauri hapo juu
 
Sioni tatizo na hiyo picha kwani inaonyesha hali halisi inayotokea hapa nchini!
 
NO COMMENT, hii ndio hali halisi, inasikitisha na kuhuzunisha, nipeni tishu jamani nifute machozi, kwi........kwi..kwi,...ng'aaa,....ng'aaaa.......ng'aaaa.....:A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:
 
Nigependa sana kuwaelewa hao wanaoomba picha iondolewe, kilichokosewa ni nini hapo, haina tusi wala uongo. Napedekeza picha zenye ujumbe kama huu zingewekwa hata kwenye mabango barabarani; zinaeleza hali halisi.
 
Hii ndio tanzania bwana...kabla ya USHURU ingekaa IKULU, iwe imevimbiwa kabisa,ujumbe ungekuwa na maana zaidi ya hii...
 
hii ni naftal mpangala ama? baabkubwa, 'makabuli yanaongezeka mabwanyenye wanavinjari kama mchezo wa kidali' by kalapinna.....
 
POleee mkulima baba ake...
twajua si makosa yako ..

na kazi zote ngumu ni we unafanya..
mmmmhhhh hao wengine ni wezi tu..
kwani wanachukua mali yako ulioipta
kwa kazi ngumu ya mikono yako..
 
wanatunyonya haoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo weziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ccmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm weziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii haooooooooooooooooooooooooooooo weziiiiiiiiiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom