Hawking: God did not create Universe





Hao ni wataalamu mbali mbali wanajibu hoja za huyo jamaa.
 
Hao ni wataalamu mbali mbali wanajibu hoja za huyo jamaa.

Katika majibu yao yote hawajaonyesha kwamba mungu kaumba ulimwengu, au kasababisha existence, mambo ambayo ndiyo ya msingi hapa.

Hii inachukuliwa kuwa an axiom, a fiat. As long as we are talking fiats, let's grant the flat earth society a fiat too, and all the other crazies who say the moon is made of cheese. Why not them? Why do you just believe that god made everything without any evidence or proof?
 

Kiranga nahaika una ufahamuna uelewa mkubwa . sio mpaka uone senetesi inayosema mungu alimumba uliwengu. Kama umesoma vizuri utaelewa wanamaanisha nini. Elewe kuna nature au kitu au mtu au mungu ambaye kwa uwezo wake wa ajabu ndio aliweka vianzio ambavyo hata sience ina base ya kuazia malezo.
 

Your assesment is so all inclusive to be meaningless. Of course kuna kitu kimefanya tuwepo. Uki include " nature au kitu au mtu au mungu" hujaacha kitu, na ni pointless kuongea hivi. Swali linakuja, kilichotufanya tuwepo ni nini? Wengine wanasema ni mungu (watu wa dini) wengine wanasema dini haiwezi kuonyesha kwamba mungu aliumba ulimwengu, na mpaka sasa the best explanation ni kwamba kuna kanuni za nature ndizo zilizoumba, lakini tunafika sehemu tunashindwa kuelewa hizi kanuni za nature zimetoka wapi, kwamba katika singularity iliyoanzisha time and space katika universe hii palitokea nini, kwani by definition katika singularity kanuni zetu zote zinavunjika na kunakuwa na 0 space and 0 time wakati kuna infinite mass, lakini kushindwa kuelewa huku hakuna maana kwamba ulimwengu umeumbwa na mungu. Kuna wengine ( kama kina Leonard Susskind katika "The Cosmic Landscape") wanaamini kwamba universe yetu ime branch off kutoka katika universe nyingine, na kwamba kuna universes nyingi katika "multiverse". Na sasa Hawking anatuambia mambo yanaweza kujiendea yenyewe bila mungu.

Tatizo unasema "kwa uwezo wake wa ajabu", wanasayansi wanaamini ulimwengu haujaumbwa kwa uwezo wa ajabu (supernatural powers) bali umeumbwa kwa kanuni za nature ambazo zinaweza kueleweka, na tatizo ni kwamba hatujaweza kuzielewa tu.

Unachosema ni kama vile watu wa zamani walivyosema kwamba radi ni jinsi ambavyo mungu "kwa uwezo wake wa ajabu" anaongea na binadamu. Baadaye wakaja kugundua kwamba radi ni umeme tu ambao hata binadamu anaweza kutengeneza, wala si kitu cha ajabu, ni kitu kinachofuata kanuni za nature.

Kama ulimwengu unaonekana wa ajabu, hili linatokana na upungufu wa elimu yetu tu. Lakini ukiusoma ulimwengu unaeleweka na unafuata kanuni, wala hauna ajabu in the sense ya vitu kufuata supernatural powers, ndiyo maana sayansi inaweza kutufunua macho kila tunavyozidi kuusoma ulimwengu.
 

Sawa ni meaningless na pointless kutokana na uelewa wako.

May be nieleweshe nipate meaning na points ya huyu jamaa na wewe .

  1. Ebu nilemishe Anachosema huyu Hawking ni Law, Theory au Hypothesis?
 
Sawa ni meaningless na pointless kutokana na uelewa wako.

May be nieleweshe nipate meaning na points ya huyu jamaa na wewe .

  1. Ebu nilemishe Anachosema huyu Hawking ni Law, Theory au Hypothesis?

Labda wewe unieleweshe kwako wewe law ni nini, theory ni nini na hypothesis ni nini.

Halafu nikikuambia alichosema Hawking ni nini, na wewe uniambie kuamini mungu ni nini kati ya law, theory na hypothesis.

By the way hujaonyesha bado kwamba mungu kaumbwa ulimwenngu.
 
Zote IMANI tu, ukitaka kuamwamini Hawking mwenye mada na mifano yenye mashiko hai na halisia, au ukitaka kuamini stori za kufikirika za vitabu VITAKATIFU! Kwamba hapo mwanzo kulikuwa na neno na huyo neno ali...........!!! ni chaguo lako. Wakati mwingine unaweza uchague kutomwamini binadamu, ukaamini mizimu na nafsi yako ikaridhika. Thanks!
 
S. Hawking ni kichwa balaa sana katika maswala ya hisabati na fizikia, ni profesa wa hisabati pale cambridge! anaugua Amyotrophic Lateral Sclerosis, ugonjwa uliompata ukubwani na kusababisha viungo vyake vingi kuathirika, mpaka kuongea anatumia mashine! Kwa wale wapenzi wa vipindi vya sayansi vya National Geographic watakuwa wanampata vizuri. Ukitaka kujua balaa za huyu mzee tafuta kitabu chake:A Brief History of Time
 
i dont understand people who get all worked up and start name calling when God is weighted versus science.

they should know that there are worst things than an atheist who rely on science for proof. At least they can try to argue that since God is everything than science itself is (part of) god and hence god made the universe (by default).


believers in God should be more concerned with people who became atheists because of God (or rather because of religions).

the relations between God and his followers, the madness, the ‘my god is better than yours' fights, the irrationality of believers and other whatnots repel a lot of people to the other side.

i have a feeling that people who do not believe in god because of lack of scientific proof are way less than the other group of atheists.

If you have read Small gods, or the Sirens of Titan or even A passage to India by Forester ( among many of the kind), you might just agree, if that is how god (and religion) is, then you might as well live without one.




Just to cheer the belivers on, i give you a line from the Sir of humour on the Bing Bang theory
'there was nothing, then it exploded'..............

:smile-big:
 
"Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna. Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye katika Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele." - WAGALATIA 6:7-9
 
This is really insane , anyways the freedom is your either to accept or reject his presence
 
This is really insane , anyways the freedom is your either to accept or reject his presence
What is insane? Why is it insane?

Insanity is rejecting the logical conclusion, that a self contradicting God idea,cannot be reality, because it is self contradicting.

The God idea was created by people,as a "manufactured reality" ad Dr. Yuval Noah Harari says.
 
Makubwa umerudiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…