Kama huna msimamo ya nini kuendelea nae? Chapa lapa utakutana asiye na msimamo mwenzio mtaishi. acheni kulalamika nyie wanaume.
Wewe ndio umejichanganya
"Valid statement" kweli statement zako ziko valid.. basi kama yamekukuta hayo na yako valid kwako, pole!!.. kuachwa kunauma..!!.. nenda mikumi.. wao hawajali cha daktari wala mwalimu.. unajichotea tu.. tena ukisema wewe dereva basi utajaza fuso...
kweli eeeh? Haya mdau
na sisi tukitaka kuoa basi tutafute mwanamke mwenye msimamo wa maisha!
Umenigusa mkuu 100% yalitokea kwangu ingawa sasa afadhali nina Kamsimamo
yaani si msimamo kamili ni KAMSIMAMO............ Naapa yaani ni hivyo hivyo
imeniathiri mpaka sitamani tena kuoa!
Mwanamke akikupenda ni balaaHata ukimwambia una mtu atasubiri hadi kipyenga cha mwisho, na akidhibitisha atalia na siku inayo fuata atasahau pamoja na kuwa amesubiri miaka
Nirahisi kumpiga kibuti mwanamke uliyempenda kwanza kuliko mwanamke aliye kupenda kwanza
Last edited by tabutupu; Today at 09:57.
HII THREAD MLIVOICHANGIA WANAUME NASHINDWA KUWAELEWA MNATAKA NINI? MKIPENDWA MAKELELE WATU WAKICHUNGULIA WALET MAYOWE VP?
USHAMBA TU WA MAPENZI UNAWASUMBUA
sna wanawake wenye vipato vyao je nao watasubiri mwenye msimamo? mi naona inategemea na msichana unaekutana nae ni wa aina gani
Mkuu Valid Statement, hii thread inaonekana umeiandika kwa majonzi makubwa na msisitizo sana, vipi yalikupata ukanyang'anywa tonge mdomoni??
........wewe vp bana!! Msimamo wa maisha kwa mwanaume ndio mpango mzima.
Hayaja ntokea mimi, ila yamemtokea RAFIKI yangu wa karibu sana.
Na imenisikitisha mno, ndo mana nna masikitiko mdau!
Umenigusa mkuu 100% yalitokea kwangu ingawa sasa afadhali nina Kamsimamo
yaani si msimamo kamili ni KAMSIMAMO............ Naapa yaani ni hivyo hivyo
imeniathiri mpaka sitamani tena kuoa!